Mbunge wa Ubungo John Mnyika anyimwa na polisi kufanya mkutano

Hivi hawa Polisi wa wapi lakini?!!! Unapiga marufuku mkutano kwa simu??!!!!
 
POLISI WAWAKAMATA VIONGOZI WA CHADEMA NA KUSHIKILIA VYOMBO VYAO



Hata hivyo wafanyabiashara wameokoa jahazi kwa kumpa Mbunge vipaza sauti ili aendelee na mkutano na alifanya hivyo.
Hii habari kuielewa inabidi usome kwa pupa.
Ukiwa makini huwezi.
 
Mhhh hapo kazi ipo. hawa jamaa inaonekana wakati wa kula kiapo cha utoo kazini walisisitizwa kuwadhibiti na ikiwezekana kuwakamata viongozi, wanachama na mashabiki wa CDM popote watakapofurukuta. Sasa hii inaonyesha nchi inaongozwa na dola ya Kipolisi.
 
Inabidi hili tulitazame kwa macho mawili, kwa nini hawa robot wa JK band wafanyie mazoezi kwa raia wasio na hatia mara Ubungo, mara Arusha ,kesho Mbeya kila leo shida, HAIWEZEKANI -Mbadala utafutwe aiseeeeeeh!
 
Mimi nilidhani polisi wa Dar es salaam watakuwa tofuti na wa mikoani kumbe nao ni washamba wakutupwa.
 
Hii habari kuielewa inabidi usome kwa pupa.
Ukiwa makini huwezi.

Mkuu hata mimi nimepata mkanganyiko hapo! Ina maana hao polisi hawakuwa na nia ya kuzuia mkutano nia yao ilikuwa vyombo na vipeperushi? Hata hivyo masuala ya kuzuia mikutano ya kisiasa ni kukengeusha demokrasia hapa nchini. polisi wapambane na uhalifu umbao inafanyika waziwazi siku hizi
 
Aroo,nasema reo hakuna kufanya mukutano hapa.Mukienderea,kira mmocha ajiandae kwa rorote ritakaromkuta.Tumeapa kuirinda nchi na Arish-babu,sasa mntaturetea mikutano ya nini wkati chimbo ni ra kwenu,katembee chumba mocha mocha.Haya tawanyika.
 
Polisi wa Urafiki vp? Sisi huku Kilungule na king'ong'o mpaka msakuzi hata bia hatunywi majambazi nje nje hawaji kuwakamata wanahangaika na wahubiri...?

Wangeanza na madereva wakorofi hapo Ubungo na machinga wanaoziba njia na. vibaka pale Songas darajani tungewaelewa
Hapa ndipo huwa napata kichefuchefu nikisikia kuwa tunafuata utawala wa kisheria. sheria gani watu wamegeuza ubungo nzima kuwa soko?
 
IMG00188-20111105-1849.jpg

Hivi sasa Mbunge wa Ubungo Mh, John Mnyika yupo kituoni Urafiki anaongea na OCD kama inavyoonekana pichani.
 
Mkuu hata mimi nimepata mkanganyiko hapo! Ina maana hao polisi hawakuwa na nia ya kuzuia mkutano nia yao ilikuwa vyombo na vipeperushi? Hata hivyo masuala ya kuzuia mikutano ya kisiasa ni kukengeusha demokrasia hapa nchini. polisi wapambane na uhalifu umbao inafanyika waziwazi siku hizi

Tumuombe mtoa habari awe serious habari za kusema kama anakimbilia kunanana kwenye mlango wa daladala hapa si mahali pale kwa kweli .
 
inabidi sasa tuingie polini demoklasia hawaiwezi ccm.
Uonevu mpaka lini, mimi nina waomba viongozi wangu wa CDM watupatie silaha vijana, tuwaonyeshe jinsi ya kuzitumia na ndipo tutakapo jua kama intelejensia ina saidia ama lah...
 
Safi sana maana wanajenga mwanzo wa mwisho wa utawala dhalimu
 
Hivi kwa nini serikali yetu inaishi maisha ya woga namna hii? Sasa inawaogopa mpaka wananchin wake!

usishangae kabisa kamanda hawa mapolisi wetu mayai kabisa nchini.yani ni waoga kupitiliza.kazi yao ni kulinda mikutano kusitokee hatari ila wao wanaona ni heri kuifuta kabisa kama kunadalili za hatari.
 
Tumuombe mtoa habari awe serious habari za kusema kama anakimbilia kunanana kwenye mlango wa daladala hapa si mahali pale kwa kweli .
Naunga mkono hoja. Heading inasema.....'anyimwa na polisi'...... kwa kweli sijaelewa.
 
Back
Top Bottom