Mwaka 1996 mpaka 1997 Makongoro east na west zilikuwa za boys then wakabadilisha baada ya kuja mademu wengi.Mkuu makongoro east si ilikuwa ya mademu, na west ilikuwa ya boys ya Mwl Mwakanemela, mwalimu wao wa bweni
Kuna mfanyakazi mwenzangu anachat na rafiki yake ambaye ni mfanyakazi wa mgodini Nyamongo, anamwabarisha kwamba shughuli zote zimesimama huko ni fujo mtindo mmoja , Wakurya wanataka kuingia maofisini huko mgodini, wafanyakazi wameingia mitini, ukikutwa barabarani kama ni mfanyakazi ni kichapo tu mpaka ukawasalimie Nyerere na Kawawa.