Mbunge wa TARIME apigwa na wananchi

Wednesday, May 11, 2011

Sharia Law: Sheikh's Fatwa Permits Sex with the Dead

Uh........ is it rape if she hasn't consented?
Meet Sheikh Abdelbari Zamzami, who just made necrophilia halal. Blazing Cat Fur

Don't you wish you lived under sharia law?

More here: Zemzami justifies his ruling by means of analogy: Since a good Muslim couple will meet again in Heaven, and since death does not alter the marital contract (in his opinion) it is not a hindrance to the husband’s desire to have sexual intercourse with the corpse of his (freshly) deceased wife

Huyu Sheikh Mwehu!
 
Hivi haya hayazuiliki kabisa? UwT hawapo kabisa nchi hii? Wamechoka nini? CID ya kanda maalum ya kipolisi ya Tarime/Rorya haina kituo pale Nyamongo ilivyo kubwa na shughuli nyingi namna ile? Hatuna tofauti na Pakistan ambako helikopta za Marekani ziliingia zikamtwanga Osama bila wao kuwa na taarifa? Usalama wa Nyamongo ni tatizo, wa Tarime, Mara na Taifa upo kweli?
 
Habari zilizonifikia dakika 20 zilizopita ni kuwa mbunge wa TARIME mh.Nyangwine kapigwa vibaya sana na wananchi wa Nyamongo na gari lake limechakazwa vibaya sana ...Alikuwa amekwenda Nyamongo kufuatilia suala la kuuwawa kwa wannnchi wa 5 katika mgodi wa North Mara....

Mdau anayenipa habari hizi yuko ndani ya mgodi wa North mara na anasema security status imewekwa RED.......

ANGALIZO: Staki mambo yenu ya kisharobalo kuanza kuniuliza source hapa...habari ndo hiyo mura

Kikosi cha Intelejinsia kilishindwa kunusa kama mbunge wa CCM atapokea kipigo.

Safi sana mmemshikisha adabu, lakini si mlisha mwambie mapema kuwa asikanyage hakuwa chaguo lenu.
 
Nimemsikia Naibu wa Waziri Mambo ya ndani-Kagasheki akisema kwamba kuna Chama cha siasa kinahusika na uchochezi wa vurugu hizi za Tarime. Kagasheki hajataja ni chama gani cha siasa lakini kwa Watu wenye akili wanajua mlengwa hapa ni CDM. Kwa kweli hapa ndipo Serikali ya Chama Cha Magamba-CCM inapoonyesha na kudhihirisha udhaifu wake.

Haingii akilini hata kidogo kudai kuwa mauji ya hawa raia 5 wa Tarime yamesababishwa na CHADEMA!Ni upuuzi na uvivu wa kufikiri kudhani kwamba kwa sasa kila tukio lolote baya linapotokea hapa nchini linasababishwa na CHADEMA! Labda tumwulize Kagasheki ametumia intelligensia gani kudai kuwa yale mauaji yamesababishwa na CHADEMA? Ina maana wale mapolizi wa Barrick Gold Mine wametumwa na CDM? Au anataka kutuaminisha kuwa wale raia 5 waliouawa kwa kupigwa risasi wakti wakichota mchanga walikuwa wametumwa na CHADEMA au ni wafuasi wa CHADEMA na kwamba walikutwa wakiwa na Kadi za uanachama wa CDM?

Ni hivi juzi tu Mawaziri wa JK wametoka kwenye semina elekezi Kagasheki akiwa ni mmojawapo. Badala ya KUTEKELEZA aliyoelekezwa na mkuu wake wa kazi ambaye ni JK anatafuta mchawi! Mara nyingi kiongozi ambaye anapenda kutafuta scapegoats(visingizio) hafai kuwa kiongozi!

Kila mtu anajua mgogoro uliopo kule Nyamongo kati ya Mwekezaji wa Madini-Barrick na Wananchi wanaozunguka maeneo hayo. KWAMBA WANANCHI WAKO KWENYE UMASKINI MKUBWA WA KUTUPWA LAKINI WAMEZUNGUKWA NA MIGODI YA DHAHABU! Ni aibu kwa serikali ya CCM kushangilia wananchi wake wanapouawa na wawekezaji na haichukui hatua zozote.

Haiwezekani mwekezaji ACHUKUE DHAHABU ZETU NA WAKTI HUOHUO ANAWAUA WATU/RAIA WETU. Hiyo haikubaliki! Sidhani hapa duniani kama kuna serikali nyingine ya wajinga hivi kama nchi ya Tanzania. Kwamba mwekezaji au mgeni anachimba madini bure,anaua raia wake na halipi kodi halafu HACHUKULIWI HATUA.

Kama ingelikuwa mimi ndiyo Serikali hawa Barrick Gold ningevunja mkataba na kuwapa 24 hours za kuondoka nchini. Unless CCM watuambie MIKATABA WALIYOINGIA NA HAWA WAWEKEZAJI NI PAMOJA NA KUUA RAIA PASIPO KUCHUKULIWA HATUA!!!
 
Nyambari.jpg

Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwene (CCM)

Siasa kama ngeni kwa Chama cha magamba. Magamba ya ccm hayana nafasi unapojitokeza kwa wananchi kama mwakilishi wao. We unajitokeza kwa wananchi kwa mwonekano wa kuakisi magamba ya ccm badala ya utaifa, vinginevyo kipigo na aibu hii visingekuapata, lakini tatizo ninyi hamjifunzi kutokana na makose, kesho mweingine atarudia kosa juu yakosa. Utaifa mbele unapoelekea umma.
 
jamani naipenda jamiiforums kuliko shem wenu!laiti ingekuwa twatiana machoni wanajf, cjui kama ingekuwaje aaah!samahanini sijajua ningeipost wapi hoja yangu,make sijielewielewi ni ajejeeee?
 
Leo hii wote tunaotoka tarime tunacheza ritungu mi nashika kighogho lakini bora angekufa tu tukala udaga alafu mbona waziri original yupo dar kivuli yupo tarime au ndo mawe?
 
Leo hii wote tunaotoka tarime tunacheza ritungu mi nashika kighogho lakini bora angekufa tu tukala udaga alafu mbona waziri original yupo dar kivuli yupo tarime au ndo mawe?
 
Hu ndo mwanzo tu tutaja uwana tu sababu ni
BORA VITA INAYODAI HAKI KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA WATU Ni mwendo wa kininja kumkaba mmoja mmoja hadi wapungue. Mara walifanya makosa kuchagua sabab jamaa ni fundi wa kudesa kuanzia academic na ndo chanzo cha watoto wetu kufeli pia hata huko bungeni atadesa hatakuwa na jipya hata kidogo. BORA KAPOKEA KICHAPO. Ahaaaaaaaaa:pound:

yaani nafanya mipango nipate picha...nasikia kapigwa mitama mpaka shati wamemchania kitambi nje....daa nakukumbuka NYANGWINE wakati tuko mkwawa na lile kombe lako la uji ukitoka DH unashuka zako makongoro east.....eti leo mbunge!!!! mambo haya bwana
kwikwiii umenikumbusha scramble pale mlangoni kayombo akifungua geti fuh enzi hizo bwana!
 
Hu ndo mwanzo tu tutaja uwana tu sababu ni
BORA VITA INAYODAI HAKI KULIKO AMANI INAYOPUMBAZA WATU Ni mwendo wa kininja kumkaba mmoja mmoja hadi wapungue. Mara walifanya makosa kuchagua sabab jamaa ni fundi wa kudesa kuanzia academic na ndo chanzo cha watoto wetu kufeli pia hata huko bungeni atadesa hatakuwa na jipya hata kidogo. BORA KAPOKEA KICHAPO. Ahaaaaaaaaa:pound:

hapana jamaa ni mzuri kichwani na strategist mzuri kudesa hilo nakupinga dogo! watoto kufeli kwani yeye mwalimu wao?
 
CCM inabidi wajiulize maswali magumu kwa nini wabunge wa chadema hawakupigwa na wakurya lakini mbunge wao amepigwa na kufanyiwa vurugu? hii ni ishara mbaya kwa seriikari, na CHADEMA ndo wanasikilizwa zaidi na wananchi kuliko mtu yoyote,

CCM acheni self deception, mmekwisha.........

Ndugu

Kuna shairi lina kichwa Siafu wamechachamaa, lile shairi naona maudhui yake yanakaribia kuwa dhahiri nchini mwetu. Tatizo kuna watu bado wako usingizini. Lakini wapende wasipende siafu watawaamsha tu
 
Habari zilizonifikia dakika 20 zilizopita ni kuwa mbunge wa TARIME mh.Nyangwine kapigwa vibaya sana na wananchi wa Nyamongo na gari lake limechakazwa vibaya sana ...Alikuwa amekwenda Nyamongo kufuatilia suala la kuuwawa kwa wannnchi wa 5 katika mgodi wa North Mara....

Mdau anayenipa habari hizi yuko ndani ya mgodi wa North mara na anasema security status imewekwa RED.......

ANGALIZO: Staki mambo yenu ya kisharobalo kuanza kuniuliza source hapa...habari ndo hiyo mura
Kigogo zaidi ya miaka 9,unatema nondo
 
yaani nafanya mipango nipate picha...nasikia kapigwa mitama mpaka shati wamemchania kitambi nje....daa nakukumbuka NYANGWINE wakati tuko mkwawa na lile kombe lako la uji ukitoka DH unashuka zako makongoro east.....eti leo mbunge!!!! mambo haya bwana

Bw 'shemasi' ktk ubora wako
 
Back
Top Bottom