GunzInTheAir
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 301
- 21
Atengeneze ya nn wakati mkuu aliahidi ataileta toka majuu, au umesahau ahadi za prezidaa
ushazoea kuletewa eeh? ama kweli ukizoea vya kuchinjwa......
endelea kungojea maendeleo hivyo hivyo
Atengeneze ya nn wakati mkuu aliahidi ataileta toka majuu, au umesahau ahadi za prezidaa
Jamani huyo dogo(Nyangwine) ambaye nasikia ni mbunge wenu, namfahamu sana!! nimesoma naye shule moja Mara sec school. I know him in and out. Jamaa si mwanasiasa hata kidogo. kuongea hajui kabisa. Si analytical hata kidogo. Kama jamaa anavyoongea bado watu wanasema jamaa anapoint basi wajinga tanzania ni wengi na kwa mantiki hiyo ni halali CCM ikaendelea kutawala hao wajinga.CCM wanatuwekea hadi mazuzu kwenye uongozi
nilisema kizazi cha Tambwe , hahaah unafikiri kwa kiuno huwezi kutambua wala kuelewa , uko gizani. . . Msalimia MS
sharobaro ni wewe, mbowe na wale wengine mnaovaa magwanda yenu ya rangi ya brown
mambo ya tarime ni shughuli kubwa tuwaachie wenyewe wa tarime........
na iko siku wale jamaa watataka kujitenga wawe na nchi yao
Ukiona baba anakukataza kutumia akili yako (rejea namna ambavyo shule na vyuo vya kati vimekosa zana za kujifunzia) halafu anaenda kuomba kwa jirani kila siku huku akimiliki hekta za mashamba, jua huyo baba hakufai na ikiwezekana amua hukumu ya jaji Azdac, the caucasian chalk circle 1944ushazoea kuletewa eeh? ama kweli ukizoea vya kuchinjwa......
endelea kungojea maendeleo hivyo hivyo
Anasema matatizo ya tarime yaachiwe wanatarime wenyewe, na watu wengi wanatoka nje ya tarime kuja kuchochea vurugu, na watahakikisha wale wote wasiyo wanawatarime watawahamisha
we ulidhani kuna mcheza viduku humu? kamuulize ****** atakueleza shughuli za magwanda ndiyo uje na akili zako za kuku.... sawa sawa kihere here wa magamba?
una analyse kwa kutumia makaliosasa yeye ndio mbunge wa kule na anajua kinachoendelea. Wewe pengine hata hujawahi kukanyga huko tarime unambishia na kuita alichoongea pumba, unadhani kati yake na wewe nani mwendawazimu >?? Wewe hapo
utakuwa umetoka kuleeee...haya endeleza hiyo mipasho yako
hii ni valid point kwa kiasi fulaniAna sema eti mbunge anatoka kwenye jimbo lake kuja kulinda maiti tarime hilo haliwezekani kamwe!
Nadhani mbunge anatudhibitishia pasipo shaka kuwa wananchi wa Tarime hawakumchagua na hawamtaki yeye na chama chake. Ndio maana Mbunge wa eneo jingine na chama kingine anakuwa na ushawishi mkubwa wa kuweza kuwahamasisha wananchi wake wakafanya tofauti na anachowaambia yeye! Amepoteza sifa ya unngozi na ndio maana wakampiga. Jambo la busara kwake ni kujiuzulu na kupisha uchaguzi mpya. Akiendelea kung'ang'ania atakufa kabla ya siku zake!
Huyu jamaa anasumbuliwa na laana ya baba yake mzazi,
Matendo aliyomfanyia mzazi wake hakuna mtu Tarime anayetarajia maendeleo kutoka kwa Nyambari, ukiachilia mbali uchakachuaji uliofanyika lakini uwezo wake wa kiuongozi, uwezo wake wa kisiasa na laana ya baba yake mzazi vinamuondolea uwezo wa kuwa mbunge wa Tarime kwa maana ya kuwawakilisha wananchi, na ama kwa hakika wanatarime wanajua wamelamba garasa safari hii.
Huyu jamaa anachokifanya ni kuitikia wimbo wa ubaguzi ulioanzishwa na chama chake cha magamba kupitia kwa nape, akafuatia masawe na sasa nyambari ndiye anaimba chorus, kila akizungumza na wanahabari, kuanzia siku aliyopopolewa mawe, alipohojiwa na startv wiki iliyopita na hadi leo anapoongea na itv anaendeleza chorus ya ubaguzi wa ukabila. Tarime ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa tanzania na kila mtanzania anastahili kuishi huko. Kama vile yeye alivyoweza kutoka tarime na kwenda kuishi dsm vivyo hivyo masawe alivyotoka kilimanjaro na kwenda tarime vivyo hivyo kama wenje alivyotoka rorya akaenda kuishi nyamagana.