Mbunge wa Tarime aongea pumba ITV, kumekucha

Red one

Member
Apr 22, 2011
99
26
Anasema ugomvi mkubwa wa watu wa Tarime ni ardhi na ugomvi wa juzi ulisababishwa na chama fulani ambacho kilidhani kina hati miliki ya Tarime.
 
Anasema matatizo ya tarime yaachiwe wanatarime wenyewe, na watu wengi wanatoka nje ya tarime kuja kuchochea vurugu, na watahakikisha wale wote wasiyo wanawatarime watawahamisha
 
Ana sema eti mbunge anatoka kwenye jimbo lake kuja kulinda maiti tarime hilo haliwezekani kamwe!
 
Ana sema ugomvi mkubwa wawatu wa tarime ni ardhi na ugomvi wa juzi ulisababishwa na chama fulani ambacho kilidhani kina hati miliki ya Tarime!

sasa yeye ndio mbunge wa kule na anajua kinachoendelea. wewe pengine hata hujawahi kukanyga huko tarime unambishia na kuita alichoongea pumba, unadhani kati yake na wewe nani mwendawazimu >?? wewe hapo
 
ningekubaliana naye ningepost hii topic? tumia tu akili ya kuzaliwa siyo lazima akili ya darasani...

kwa hiyo umepost hii thread kwa sababu unapingana nae, ungekubaliana nae ungeipotezea eeh
duh sharobaro bana, mnapenda kujinusa kupita kiasi
 
sasa yeye ndio mbunge wa kule na anajua kinachoendelea. wewe pengine hata hujawahi kukanyga huko tarime unambishia na kuita alichoongea pumba, unadhani kati yake na wewe nani mwendawazimu >?? wewe hapo

kizazi cha pumba , kizazi cha Nape na Tambwe. . . Fikra za mchagoni.
 
kama ni kuhamisha wanaokaa nje ya maeneo yao tuanze na yeye maana tangu alivyochakachua matokeo na kupewa ubunge yeye ni mtu wa Dar na Dodoma tu sasa ni muda gani anapata wa kwenda kuwatembelea wachakachulika wake kusikiliza shida zao
Huyu mbuge wa Tarime ni kihiyo kweli yeye mwenyewe Sheria haijui na hata haelewi katiba yetu ya jamhuri ya muungano ina semaje kuhusu mtanzania kuishi na kufanya kazi sehemu yoyote ile ili mradi havunji sheria za nchi,ama yeye kweli kama sio ndina ni nini ,ana uelewa gani kuhusu mfumo wa vyama vingi
jamani huyu kihiyo wa chama chakachua magamba msimshangae sana kwani INAWEZEKANA KAMA YEYE SIO KICHAA AMA TAHIRA BASI HUENDA KUNA MTU KWENYE UKOO WAKE ALIWAHI KUWA NA HULKA HIYO SASA NA YEYE BILA KUJIJUA AKJITUKA AMEIRIDHI BILA
KUFAHAMU ITABIDI MAGAMBA WAWE MAKINI NA VIONGOZI WA HII AINA KWENYE CHAMA CHAO CHA MAGAMBA
 
Huyo ni mlopokaji kama akina Gunzi in the air, maneno anayotoa nin kama mgonjwa wa akili.
 
Ana sema ugomvi mkubwa wawatu wa tarime ni ardhi na ugomvi wa juzi ulisababishwa na chama fulani ambacho kilidhani kina hati miliki ya Tarime!

Viongozi wanaopatikana kwa njia za Kimlingotini lingotini - Bagamoyo na Ki EPA EPA na kujua ndo madhara yake haya. Ina maana wanaoleta matatizo Tarime ni wageni na sio Wakurya. Hivi Renchoka na Anjari ni Wageni. Hii dhambi ya ubaguzi hii nyie iendekezi tu.

Anaposema wageni waondoka anamaanisha pia na yule Massawe wa POLISI?
 
mwisho wa kufikiri kwako, ndio mwanzo wa kufikiria kwa mwengine.
unajiona msomi eeh...mbona hukuweza kutengeneza meli ?

nilisema kizazi cha Tambwe , hahaah unafikiri kwa kiuno huwezi kutambua wala kuelewa , uko gizani. . . Msalimia MS
 
Anachokifanya hapa ni kurudia mahojiano yake na *tv wiki jana, anachodai ni kuionesha tarime na tz ni vitu tofauti, kwa mawazo yake anaiangalia tarime kama sehemu ambayo wanakaa wakurya pekee, hapa ndipo unapoonekana na upofu wa baadhi ya wachangiaji wa hii thread, huyu jamaa hajiulizi ni kwanini pamoja na ukurya na utarime wake alikimbizwa na wananchi alipoenda kuwahutubia. Maslahi ya watz hayafungwi kwa tofauti za kimaeneo
 
mambo ya tarime ni shughuli kubwa tuwaachie wenyewe wa tarime........
na iko siku wale jamaa watataka kujitenga wawe na nchi yao
 
Back
Top Bottom