Mbunge wa Tandahimba Kuwa muungwana JIUZULU

Ni wa magamba !!! mdomo unanuka kwa kukaa kimya bungeni anachojua ni ku-punch ATM card kwenye machine kuangalia salio kama limeingia. nakushangilia wakati wa kutoka jioni
magamba hawana akili,kwenye kura za maoni ya chama chao huyo jamaa alishindwa vibaya na mkuu wa wilaya ya kishapu kwa jina la LUTAVI,LAKINI AKANUNUA KADI AKAPATA USHINDI FAKE MAGAMBA HAYAKUFANYA LOLOTE
KWENYE UCHAGUZ MKUU AKASHINDWA VIBAYA NA MGOMBEA WA CUF KIJANA MDOGO KABISA ANAITWA KATANI MAGAMBA WAKAIBA KURA,
HUYO MBUNGE MWENYEWE ANAFAHAM FIKA KUA HAPENDWI NA SIO CHAGUO LAO,WALISHAMCHOMEA MOTO HADI NYUMBA YAKE NDIO MAANA ANAOGOPA KWENDA KULE KUONENAKA NA KUTATUA MGOGORO ULE WA WANANCHI WA TANDAHIMBA..
 
Hadi leo ni siku wiki mzima watu wanaigana!!!! Wew hauonekani, jiuzulu!!!

Mbunge wa Tandahimba Juma Njuwayo (CCM)yeye na chama chake ni sehemu ya tatizo linaloendelea sasa huko. Wananchi hawataki hata kumuona,na hilo analijua ndio maana ametulia Dodomahawezi kuwepo huko kipindi hiki. Fujo za Tandahimba zilianza mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010 yalipotangazwa. Juma Njuwayo (ccm) alipata kura 34,154 na Mr.Katani Katani (CUF) 33,116. Wananchi wakahisi wameibiwa kura na todate hawamtambui iyo mbunge kama ni halali. Kuanzia hapo wananchi hawamtaki kumuona Njuwayo.Mtu anayekubalika huko ni wa CUF. Hasira za wananchi kutokea kwenye matokeo ya uchaguzi ndio hizo zinazoendelea kwenye zao la korosho, wanahisi wanaibiwa na serikali na chama tawala.
 
yap ni ukweli huyo juma yupo hatarini sasa most wanted dead or alive we juma njwao jiuzulu kuliko kuweka maisha yako rehani
 
Back
Top Bottom