Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

CCM KABURINI KWA VYOVYOTE AKISHINDA KESI WANANCHI WATACHARUKA NA WATANZANIA WATAJUA CCM NA MAHAKAMA LAO MOJA WAKISHINDWA KESI CDM INAENDELEA KUWA JUU JUU JUUU ZAIDI KWANI MGOMBEA WAKE ATASHINDA UCHAGUZI MDOGO NA CDM ITAJIONGEZEA MAJIMBO KAZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII KWA MAGAMBAaaaaaaaaaaaaaaa
 
me hata book halipandi kila muda na reload nipate hzo updates natamani nichukue hata namba ya jamaa niwe nampgia anijuze
 
sasa kwa nini anasoma hukumu kwa kingeli ilhali wahudhuriaji ni watz wa Lyamba Lya mfipa??
 
Jaji yuko kwenye hoja namba 9 hoja zote 8 alizosoma zimepanguliwa, nitaendelea kuwajuza
 
Mpaka sasa Jaji bado hajaingia?
Tupe more update bana.
Raia wamejitokeza kwa wingi sana, askari kibao ukumbi umejaa sana, hukumu bado haijaanza kusomwa wanasubiri wafunge spika kwa nje.

UPDATES:
Jaji bado hajaingia, raia waliojipambanua ni CDM na ndo wengi zaidi ya 95% na wamekula kombati, wapo makamanda toka mkoa mpya Katavi toka Mpanda mjini na Tunduma
 
Kiingereza kigumu wewe

.....manufacturing of teachers......

:smile-big: and if you want to make deals, my office is open for deals, Come to me, i will give you good deals :smile-big: Kweli mk e re anaidhalilisha Magogoni yetu imekuwa sehemu ya kupigia deals
 
Back
Top Bottom