Mbunge wa Segerea sawa na kutokuwa na Mbunge

REMSA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,579
947
Ninaposikia wabunge wengine wanaongelea kuhusu maeneo yao naumia kwani sisi wakazi wa Kinyerezi tunanyanyaswa na manispaa ya Ilala kwa kuvamia maeneo yetu na kuyapima bila idhini yetu na kutangaza kuuza bila kutulipa chochote.

Nasema hatuna mbunge kwa sababu mbunge wa segerea ni Makongoro ni sawa na jimbo letu kutokuwa na mwakilishi.
 
Jikusanyeni mpambane kama wananchi wa Chanika, ukonga. Baada ya Mabere Marando kuibeba ishu yao serikali iligwaya ikarerejesha ardhi iliyoporwa miaka zaidi ya 10.
Mkisha kusanyika pelekeni hoja yenu kwa waziri kivuli halima mdee ili awasilishe hoja yenu Bungeni. Ni ushauri tu.
 
Ninaposikia wabunge wengine wanaongelea kuhusu maeneo yao naumia kwani sisi wakazi
wa Kinyerezi tunanyanyaswa na manispaa ya Ilala kwa kuvamia maeneo yetu na kuyapima
bila idhini yetu na kutangaza kuuza bila kutulipa chochote.Nasema hatuna mbunge kwa
sababu mbunge wa segerea ni Makongoro ni sawa na jimbo letu kutokuwa na mwakilishi.

kikwete aliutaka urais ili awe anasafiri;

makongoro aliutaka ubunge ili awe waziri.

na wote walichakachua.
 
Jikusanyeni mpambane kama wananchi wa Chanika, ukonga. Baada ya Mabere Marando kuibeba ishu yao serikali iligwaya ikarerejesha ardhi iliyoporwa miaka zaidi ya 10.
Mkisha kusanyika pelekeni hoja yenu kwa waziri kivuli halima mdee ili awasilishe hoja yenu Bungeni. Ni ushauri tu.

Asante kwa ushauri tutaufanyia kazi.
 
Jikusanyeni mpambane kama wananchi wa Chanika, ukonga. Baada ya Mabere Marando kuibeba ishu yao serikali iligwaya ikarerejesha ardhi iliyoporwa miaka zaidi ya 10.
Mkisha kusanyika pelekeni hoja yenu kwa waziri kivuli halima mdee ili awasilishe hoja yenu Bungeni. Ni ushauri tu.

Ndugu zangu wala msipoteze muda na huyu jamaa!
Nakumbuka last year December siku ile mvua kubwa iliponyesha na kuharibu miundo mbinu mingi hasa barabara na madaraja hapa jijini Dar hususani madaraja yote 2 yanayounganisha Kinyerezi kwa upande wa Segerea na Majumba Sita alipopigiwa simu kama mbunge alijibu na kusema kwamba
"mimi siyo mbunge wenu nimepata ubunge kwa hela yangu"
Huyu ndiye mnayetaka kupata msaada kutoka kwake!
 
Something springs to mind, tuandike katiba itakayomzuia mtu kuwa kiongozi wa serikali kama amechaguliwa na wananchi. Ndio kusema, mawaziri na manaibu wao wasiwe katika serikali. Hapa ndipo tutapata uhalali wa kuwahoji kwanini hawatuwakilishi. Ni lazima pia TAKURURU iwe ni chombo cha Bunge badala ya serikali!

Ni ngumu sasa kumhoji mtu aliyeapa kwa Rais kuwa atatunza siri na kuitetea serikali.
 
Yupo tena anayo PhD ya Washington International University!MSc ya Strathclyde, Certified Supplies Professional Degree, Certified Public Accountant!Brilliant?
 
Ndugu zangu wala msipoteze muda na huyu jamaa!
Nakumbuka last year December siku ile mvua kubwa iliponyesha na kuharibu miundo mbinu mingi hasa barabara na madaraja hapa jijini Dar hususani madaraja yote 2 yanayounganisha Kinyerezi kwa upande wa Segerea na Majumba Sita alipopigiwa simu kama mbunge alijibu na kusema kwamba
"mimi siyo mbunge wenu nimepata ubunge kwa hela yangu"
Huyu ndiye mnayetaka kupata msaada kutoka kwake!

Tunamsubiri 2015!
 
Ninaposikia wabunge wengine wanaongelea kuhusu maeneo yao naumia kwani sisi wakazi wa Kinyerezi tunanyanyaswa na manispaa ya Ilala kwa kuvamia maeneo yetu na kuyapima bila idhini yetu na kutangaza kuuza bila kutulipa chochote.

Nasema hatuna mbunge kwa sababu mbunge wa segerea ni Makongoro ni sawa na jimbo letu kutokuwa na mwakilishi.

Ni kweli wana Kinyerezi tunahitaji uwakilishi wa dhati bungeni. Mie huwa inaniuma ninaposikia bungeni wabunge wengine wakitunisha misuri kuhusu mambo yanayowaumiza wapiga kura wao halafu eti sisi hatuna msemaji. Hapa kinyerezi maeneo ya zimbili pamepimwa kabisa lakini maeneo yaliyotengwa kwa ajiri ya viwanja vya mipira, garden za watoto na mengineyo ambayo yako reserved kwa ajili ya kujengwa hospital shule eti mwenyekiti na wajinga wachache wa manispaa wanawauzia watu kwa ajili ya kujenga nyumba zao. Kwa mwanaharakati mzalendo aende kinyerezi zimbili -kwa msemwa aulize wenyeji kuwa hapa palitengwa kwa ajili ya hospital na nyumba za madaktari lakini atashangaa kukuta nyumba zinavyoota kama uyoga, na jilani na eneo hilo ataona shule iliyojengwa barabarabi kwa mujibu wa ramani ya watu wa ardhi na hiyo shule imejengwa sehemu ambapo haikupangiwa ambapo ilikuwa inatakiwa kujengwa pameuziwa mafisadi wamejenga majumba na kingine cha kusikitisha hiyo shule imefikia kozi ya 6 au 7 na ni vyumba vinne, kwa mujibu wa vyanzo vya habari wanasema mpaka hapo ilipofika serikali ilisha toa milioni 30 imetafunwa maana ukiliona hilo jengo hata halijafika thamani ya milioni hata 7. yaani wankinyerezi tuna mengi yanayotukera we acha tu
 
kupitia media mbali mbali tunawasikia wabunge wengine kipindi kisichokuwa cha bunge huwatembelea wananchi wapiga kura wao na kusikiliza kero zao mpya na kujibu zile ambazo walisha mlipotia kwa utekelezaji. Lakini mie sijapata kusikia eti huyo mbunge eti kaja kuongea na sisi wananchi. asipotusikiliza bungeni anatuwasilisha kwa lipi?
 
Back
Top Bottom