Mbunge wa Mufindi Kusini (CCM) apata ajali

mola amponye haraka na akirudi bungeni akumbuke kutimiza matakwa ya wananchi na si chama
nadhani kuna haja ya sheria za usalama barabarani kufanyiwa marekebisho makubwa ikiwemo kuongezwa adhabu kali
kwa madereva wazembe wasiozingatia alama za barabarani.
 
Kusema kweli nimesikitishwa sana na kauli zenu, kwa upande mwengine ninawasikitikia wenye mawazo kama haya. Cha kuangalia hapa ni kuwa barabara zetu ni mbovu na madereva wanakuwa wazembe sana. Hata kama huyu jamaa akifa (Namuombea kwa moyo mmoja apone haraka) na M4C kuchukua jimbo hilo na mengine kama mnavyoomba, bado watu wataendelea kupata ajali wakafa au kupata ulemavu kwa sababu barabara ni mbovu na madereva ni wazembe.

simuombei huyu mbunge ila ukisoma vizuri post yangu utagundua namzungumzia kiranja wa hii jumuiya ya watz.
 
Kila mtu atakwenda kuzim mda ukifika. Sasa sioni maintiki ya kutanguliza ahera jamani tuwe wastaarabu
 
Kusema kweli nimesikitishwa sana na kauli zenu, kwa upande mwengine ninawasikitikia wenye mawazo kama haya. Cha kuangalia hapa ni kuwa barabara zetu ni mbovu na madereva wanakuwa wazembe sana. Hata kama huyu jamaa akifa (Namuombea kwa moyo mmoja apone haraka) na M4C kuchukua jimbo hilo na mengine kama mnavyoomba, bado watu wataendelea kupata ajali wakafa au kupata ulemavu kwa sababu barabara ni mbovu na madereva ni wazembe.

Suala la kifo kama likishapangwa, basi hata nani aseme nini utakufa tu!!
 
yupo chama Tawala anapambana na nani kuleta maendeleo?

jamaa alikuwa anamaanisha arejee kupambana na wananchi na wapenda haki ili kuiba na mafisadi wenzao wa magamba kwa kuuza rasirimali za misitu na ardhi ya wananchi kwa wawekezaji kama wanavyofanya huku Mufindi Kusini.

R.I.P mheshimiwa mbunge na Shetani akubariki.............AMEEEEEEN!!!
 
Alishalifanyia hili taifa kipi cha maana zaidi ya kuzomea na kupiga makofi bungeni ?
 
Nasikia ajali yake ilikuwa mbaya sana. Mwenye picha aziweke hapa jamvini.

JF imepungua makali,mpaka saa hii hakuna picha za gari tuoneilivobondeka?kwa vyovyote ilishavutwa iko Iringa central police,,hata Mjengwa umeshindwa kutupia picha?
 
simuombei huyu mbunge ila ukisoma vizuri post yangu utagundua namzungumzia kiranja wa hii jumuiya ya watz.
Mkuu samahani, nilichanganya madawa, pengine kutokana na "habari ya kiranja kuchanganywa na ajal ya huyu mbunge". Hata hivyo, bado nahisi haifai kuwaombea kifo binadamu wenzetu, awe yeyote yule.
 
Kusema kweli nimesikitishwa sana na kauli zenu, kwa upande mwengine ninawasikitikia wenye mawazo kama haya. Cha kuangalia hapa ni kuwa barabara zetu ni mbovu na madereva wanakuwa wazembe sana. Hata kama huyu jamaa akifa (Namuombea kwa moyo mmoja apone haraka) na M4C kuchukua jimbo hilo na mengine kama mnavyoomba, bado watu wataendelea kupata ajali wakafa au kupata ulemavu kwa sababu barabara ni mbovu na madereva ni wazembe.

Mungu ni mwaminifu, atamtendea anayopaswa kutendewa. Kwa mnaotegemea malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kujenga barabara mmeumia. Kama tatizo ni ubovu wa barabara mbona mnaendelea kuichagua ccm ambayo imeshindwa kutatua kero ya usafiri Iringa kwa miaka zaidi ya 50? Kwa aliyetoa R.I.P. Naona bado kamtakia mema tu.
 
Lazima niwe mkweli sina huruma kabisa na hawa washenzi wanaotumaliza (CCM). Kwa upande wangu naona bora afe na chadema tuchukue jimbo. Ningekuwa doctor ningemmalizia mbali.
 
Back
Top Bottom