Mbunge wa Mtera Anafanya kazi ya furahisha Wenzie Bungeni!

Laptop01

JF-Expert Member
Nov 29, 2009
1,365
796
Jamani, naangalia luninga yangu hapa; namsikia Mwenyekiti wa Bunge akiwatambulisha wageni, anawaambia wageni kwamba mbunge wao wa Mtera, Livingstone Lusinde anafurahisha sana Bungeni, na kwamba (kwa kufanya hivyo) anafanya kazi nzuri sana.

Nilidhani kazi nzuri sana kwa mbunge ni Uwakilishi Makini wa watu wake na Tanzania kwa ujumla. Sijajua kama kufurahisha wabunge wenzie mjengoni ni kazi nzuri sana kwa ubunge wake. Naomba kuelimishwa jamani nisije nikawa na uelewa tofauti sana juu ya kazi za mbunge.
 
Huu ugonjwa wa kucheka cheka unaambukizwa siku hizi nini? Wakulilia naona hawaupendi hakuna aliyeeiga...
 
Huyo LIVINGSTONE LUSINDE ANATAKIWA APIMWE AKILI KWA SABABU HAJUI ANAFANYA MM NIMEMFUATILIA TOKA DAY ONE ANAINGIA BUNGENI HAKUNA CHA MAANA ANACHOONGEA ZAIDI YA KUROPOKA,ANAPENDA KUOMBA MWONGOZO HALAFU ANAONGEA PUMBA NDIO MAANA WANAMWITA MCHEKESHAJI,KIJANA MDOGO KATIKA UMRI WAKE ALITAKIWA AJE NA HOJA NZITO JUU DHIDI YA SERIKALI LAKINI GAMBA TU NALO HILO.............................................
 
nAONA SASA HATA jf MEMBERS WENGINE WAMESHAAMBUKIZWA UGONJWA WA HYSTERIA NA KUISHIA KUCHEKACHEKA WAKATI TAIFA LIMEPITA MAGOTI

PUMBAFF
 
nAONA SASA HATA jf MEMBERS WENGINE WAMESHAAMBUKIZWA UGONJWA WA HYSTERIA NA KUISHIA KUCHEKACHEKA WAKATI TAIFA LIMEPITA MAGOTI

PUMBAFF
.....Punguza hasira mkuu machungu kweli tunayo tatizo mkiwa wengi hata msibani kuna wanaolia kweli kweli lakini utashangaa wengine wanacheka na kukata stori....Tutafika tu!!!.....
 
Back
Top Bottom