Mbunge wa mlalo upo wapi,mbona barabara ya kitivo tewe haimaliziki

Shembago

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
332
50
Brigedia Jenerali Hassan Ngwilizi,MB (MLALO) Hivi anahabari kwamba mkandarasi wa barabara ya Kitivo- tewe anatengeneza barabara hiyo kwa viwangovya chini kabisa? Barabara hii imekuwa ikitengewa fedha kila wakati lakini hakuna kinachomalizika kwa viwango.

Kwanza njia yenyewe ilianza kutenegeneza kwa Nguvu ya Wananchi kwa Majembe lakini hata baada ya serikali kuanza kuweka mkandarasi tofauti ya Jembe la Mkono na machine hazionekani! Kuna Kona mabazo zinatakiwa kuingizwa katika maajabu ya Dunia,maana ni Kona ambazo ni za hatari,hakuna calvati hata moja, na kalvati walio lotengeneza yote yamesombwa na maji ndani ya miezi miwili.

Tafadhali huyu mzee awajibike katika eneo lake ili anagalau apate Heshima kwa wakazi wa eneo hili na fedha ya wavuja jasho isipotee bure,Ukizingatia msimu huu kama anaangalia alama za nyakati 2015 asigombee tena!

Nawakilisha kwa utekelezaji
 
Nikiikumbuka hii barabara jinsi baba yangu na wazee wengine walivyoteseka kuijenga kwa nguvu zao then kila mbunge anayekuja anajifanya kuahidi kuishughulikia wakati akishapata kura analala mbele. Wakazi wa mlalo tuseme basi kwa magamba ijapokuwa wengi mko kama mmekunywa maji ya bendera ya chama cha mapinduzi lkn ifikie mahali tutapike na tuchague upinzani
 
Kha kha kha khaaa,pole mghoshi! Huyo jamaa (Ngwilizi) hawezi kufanya chochote kwasasa, nadhani ameshakufa huyu. Miaka mitano ya kwanza iliimaliza bila kufanya lolote katika jimbo lake,awamu ya pili kaingia baada ya kuwarubuni wazee wa ccm kwa chai na maandazi pale mkongoloi na 2015 ameahidi hatagombea tena hivyo hana cha kupoteza. Nikiupata ubunge wa mlalo 2015 jambo la kwanza kufanya itakuwa kumshitaki huyu mzee kwa ulaghai kwa wana Mlalo for ten years.
 
Lushoto na mkoa mzima wa Tanga ni makapu ya kubebea ushindi wa magamba. Wabwanga tishikamane tika okoe majimbo mia n'ngetizidi kunya mavi?
 
Back
Top Bottom