Mbunge wa Mbozi magharibi

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
hatuhitaji kusifia vyombo na taasisi za serikari zinazofanya kazi kwa mashinikizo, bali si kwa mazingira halisi.
Tunahitaji maelezo ya kina kuhusu richmond, epa na zingine.
 
Hoja ni kwamba mbunge wa mbozi mgb anastahili kuungwa mkono.
Tunahitaji kusikia takukuru wakijisifu kwa kesi za rushwa kubwa kubwa kama zilizohusisha mikataba ya richmond na epa, si kwa kujisifu dhidi ya rushwa za nyanya zinazopelekwa maromboso.
 
Allaa kumbe takukuru wanajisifu wakati watuhumiwa wa rushwa kubwa wote wako mtaani waki enjoy rushwa walizokula
 
Hoja ni kwamba mbunge wa mbozi mgb anastahili kuungwa mkono.
Tunahitaji kusikia takukuru wakijisifu kwa kesi za rushwa kubwa kubwa kama zilizohusisha mikataba ya richmond na epa, si kwa kujisifu dhidi ya rushwa za nyanya zinazopelekwa maromboso.
hivi wakijisifu kuwa tumewapeleka mahakamani na baadae mafisadi wakashinda kesi unakuwa ushindi kwa takukuru?
 
Back
Top Bottom