Mbunge wa Mbeya vijijini

Msenshe

Member
Dec 18, 2010
40
2
Naombeni mwenye wasifu wa Mch. Luckson Mwanjale aniwekee jamvini. Ccm wanatumia nguvu sana kumpitisha kwa chaguzi 2 sasa.
 
Mchungaji Mwanjali ni fundi bomba, akaacha kazi akaingia uchungaji kuikimbiza mia ili aweze kuishi, hana lingine la ziada
 
Back
Top Bottom