upupu, magamba yote yanafanana. Sio kosa lenu.Watu wa Mby walimpa kura Sugu kwakuwa hawakuwa na chaguo lingine bora. Yaani mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya alichafanya Sugu(kama hii habari ni ya kweli) kwasababu Mkoloni ni mwenyeji wa Tanga na sio Mby. Sugu kama mbunge anajukumu la kutatua matatizo ya ajira ya vijana wa Mby waliomwezesha kwa kumpigia kura na kuzilinda pale DSA, sasa ungetegemea ajira kwama hiyo ampe mwenyeji (mtu wa jimbo lake) anayeyajua matatizo na matarajio ya watu wa Mby. Siamini kama Sugu amekosa vijana wa Mby wenye sifa ya kazi hiyo na badala yake akampata Mkoloni.Na hapa sio ishu ya ukabila au ukanda. Ni suala la mwakilishi(Mbunge) wa wananchi kujua matatizo ya wananchi na kuyapatia ufumbuzi. Kisiasa, hili ni kosa kubwa kwa Sugu, kama kuna watu makini ndani na nje ya Chadema, wanaweza wakalitumia kumwangusha(pamoja na mambo mengine) 2015. So far amepwaya ktk kujenga hoja na kuwakilisha hoja za wananchi. Chadema itawalazimu kuwa makini zaidi ktk kuchagua mgombea ubunge wa Mby mjini 2015, kwasabau wananchi wa Mby wanaweza wasisite kurudia kile walichomfanyia Polisya Mwaiseje(NCCR Mageuzi) ambaye alitumikia kw kipind kimoja tu(1995-2000).
Hayo ndio tunayoyapinga kwani Mkoloni si Mtanzania,Mr Sugu inabidi apongezwe kwa kuvunja mambo ya ukabila kwa kumuajiri mtu kutoka Kunani Kule,mwishowe hata sisi wengine tuishiyo Ntwara na kufanya kazi zetu huko basi tuambiwe turudi kwetu Kagera sasa je tutafika?Watu wa Mby walimpa kura Sugu kwakuwa hawakuwa na chaguo lingine bora. Yaani mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya alichafanya Sugu(kama hii habari ni ya kweli) kwasababu Mkoloni ni mwenyeji wa Tanga na sio Mby. Sugu kama mbunge anajukumu la kutatua matatizo ya ajira ya vijana wa Mby waliomwezesha kwa kumpigia kura na kuzilinda pale DSA, sasa ungetegemea ajira kwama hiyo ampe mwenyeji (mtu wa jimbo lake) anayeyajua matatizo na matarajio ya watu wa Mby. Siamini kama Sugu amekosa vijana wa Mby wenye sifa ya kazi hiyo na badala yake akampata Mkoloni.
Na hapa sio ishu ya ukabila au ukanda. Ni suala la mwakilishi(Mbunge) wa wananchi kujua matatizo ya wananchi na kuyapatia ufumbuzi. Kisiasa, hili ni kosa kubwa kwa Sugu, kama kuna watu makini ndani na nje ya Chadema, wanaweza wakalitumia kumwangusha(pamoja na mambo mengine) 2015. So far amepwaya ktk kujenga hoja na kuwakilisha hoja za wananchi. Chadema itawalazimu kuwa makini zaidi ktk kuchagua mgombea ubunge wa Mby mjini 2015, kwasabau wananchi wa Mby wanaweza wasisite kurudia kile walichomfanyia Polisya Mwaiseje(NCCR Mageuzi) ambaye alitumikia kw kipind kimoja tu(1995-2000).
wewe wa ajabu kweli kweli,leo hii bado unashangaa katibu wa mbunge kutoka nje ya jimbo,sasa mbona haushangai mbunge mwenyewe kuwa mwakilishi sehemu ambayo hakuzaliwa?ama haujawaona wabunge wa hivi?na kati ya mbunge na katibu ni nani ana concern kwetu wananchi
Umenikumbusha TFF wanavyotunga sheria zao kwa kuwabagua wanamichezo kuingia ktk uongozi kwa kisingizio cha elimu kitu ambacho hata FIFA hawana,hivi kwa mfano hawa wasomi lukuki tulionao wanatusaidia nini?watanzania tunadharauliana sana kwa ujinga wetu eti flani kasoma,huyu hajasoma sana...go to hell
Huyo Mkoloni inawezekana alitia mchango mkubwa sana mpaka Sugu akaukwaa ubunge,hivyo si rahisi Sugu amtupe>ndiyo ilivyo,hata wewe ungefanyahivyo kwa washkaji zako wa karibu waliokuwezesha kufanikiwa kwenye siasa.Hata JK kaweka washkaji zake kwenye nafasi nyingi nyeti.Lazima uchague mtu ambaye unamuamini na mtafanya kazi bila matatizo.Usimlaumu Sugu kwa hili!
Unajua kazi za mbunge? Mbunge ni mwakilishi wa jimbo, tunategemea kwanza aliwakilishe jimbo lake na pili Taifa. Moja ya majukumu ya Mbunge ni kuhakikisha anatatua matatizo ya ajira (kupitia sera na kwa vitendo) jimboni kwake na Taifa kwa ujumla. Baada ya hili, Sugu atakuwa na ujasiri wa kuongelea suala la ajira za vijana Mby? Nikukumbushe tu kwamba kosa la Sugu ni la kisiasa, sio kisheria wala kimaadili. Tunaomtakia mema tunamwambia ukweli, na nimeshawahi kumtumia ujumbe kuhusiana na jambo fulani.Hayo ndio tunayoyapinga kwani Mkoloni si Mtanzania,Mr Sugu inabidi apongezwe kwa kuvunja mambo ya ukabila kwa kumuajiri mtu kutoka Kunani Kule,mwishowe hata sisi wengine tuishiyo Ntwara na kufanya kazi zetu huko basi tuambiwe turudi kwetu Kagera sasa je tutafika?
upupu, magamba yote yanafanana. Sio kosa lenu.
Watu wengine bwana! Hepu tuambie majukumu ya katibu wa mbuge? halafu useme jukumu lipi litamshinda Mkoloni? na wakati Mr. sugu anagombania ubunge alikua bega kwa bega na mkoloni kila mahala! Na nani alikwambia mzaliwa wa mbeya ndiyo yeye tu anayejua matatizo ya mbeya? Kwani Lukuvi kua mkuu wa mkoa wa dsm yeye ni mwenyeji wa DSM? Hovyoo tu! Unaweza ukawa mwenyeji na usiweze kuyatambua matatizo ya kweli yanayowakabili wananchi wa hapo na pia ukashindwa kupanga mpango mkakati wa kuyatatua matatizo hayo! Jambo hapa sio Mkoloni, ni kama mwajiri wake anamwamini acha afanye kazi, kwani hawa wakenya woote wanaofanya kazi hapa Tz, sisi watz hatuwezi kuzifanya hizo kazi? kwa wao wanayajua matatizo yenu kuliko sisi watz? ACHA MAWAZO YA KICHAWI WEWE
Kwangu katibu wa mbunge inabidi apatikane jimboni 24/7 na alifahamu jimbo na wanajimbo vizuri katika nyanja zote kwa maana hata 'kiutamaduni', sina uhakika kama Mkoloni ataweka kambi ya kudumu jimboni kipindi Sugu yuko kwenye shughuli za kibunge nje ya jimbo. Na kimsingi ukiwa na katibu asiye makini "KISIASA" unapunguza moja kwa moja asilimia za kutetea jimbo lako kwa maana ya kushindwa kuwa daraja zuri kati ya mbunge na wapiga kura.