Mbunge wa Mbeya mjini apata katibu

koo

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
258
67
Msanii wa mziki wakizazi kipya kutoka kund la wagosi wa kaya MKOLONI kapata ajira ya mkataba wa miaka mitano kama katibu wa msanii mwenzake na mbunge wa mbeya mjini mheshmiwa Mbilinyi ( Mr 2)Maoni yangu huyu katbu namashaka na uwezo wake kiutendaji na elim yake anaweza akawa chachu ya utendaji mbovu wa mheshmiwa mbunge
 
Msanii wa mziki wakizazi kipya kutoka kund la wagosi wa kaya MKOLONI kapata ajira ya mkataba wa miaka mitano kama katibu wa msanii mwenzake na mbunge wa mbeya mjini mheshmiwa Mbilinyi ( Mr 2)

Maoni yangu huyu katbu namashaka na uwezo wake kiutendaji na elim yake anaweza akawa chacu ya utendaji mbovu wa mheshmiwa mbunge
 
Una mashaka na Elimu na utendaji wa Katibu wa Mbunge lakini huna mashaka na elimu na utendaji wa Mbunge mwenyewe,siyo?Acha kasumba mkuu,kuna watu wamezaliwa na vipaji vya kuongoza na elimu kamwe siyo kigezo cha mtu kuwa Kiongozi mzuri
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Ni mtendaji Mzuri naona kaanza na kumshauri Sugu kupiga marufuku Fiesta Mbeya
 
Watu wa Mby walimpa kura Sugu kwakuwa hawakuwa na chaguo lingine bora. Yaani mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya alichafanya Sugu(kama hii habari ni ya kweli) kwasababu Mkoloni ni mwenyeji wa Tanga na sio Mby. Sugu kama mbunge anajukumu la kutatua matatizo ya ajira ya vijana wa Mby waliomwezesha kwa kumpigia kura na kuzilinda pale DSA, sasa ungetegemea ajira kwama hiyo ampe mwenyeji (mtu wa jimbo lake) anayeyajua matatizo na matarajio ya watu wa Mby. Siamini kama Sugu amekosa vijana wa Mby wenye sifa ya kazi hiyo na badala yake akampata Mkoloni.

Na hapa sio ishu ya ukabila au ukanda. Ni suala la mwakilishi(Mbunge) wa wananchi kujua matatizo ya wananchi na kuyapatia ufumbuzi. Kisiasa, hili ni kosa kubwa kwa Sugu, kama kuna watu makini ndani na nje ya Chadema, wanaweza wakalitumia kumwangusha(pamoja na mambo mengine) 2015. So far amepwaya ktk kujenga hoja na kuwakilisha hoja za wananchi. Chadema itawalazimu kuwa makini zaidi ktk kuchagua mgombea ubunge wa Mby mjini 2015, kwasabau wananchi wa Mby wanaweza wasisite kurudia kile walichomfanyia Polisya Mwaiseje(NCCR Mageuzi) ambaye alitumikia kw kipind kimoja tu(1995-2000).
 
wewe wa ajabu kweli kweli,leo hii bado unashangaa katibu wa mbunge kutoka nje ya jimbo,sasa mbona haushangai mbunge mwenyewe kuwa mwakilishi sehemu ambayo hakuzaliwa?ama haujawaona wabunge wa hivi?na kati ya mbunge na katibu ni nani ana concern kwetu wananchi

Umenikumbusha TFF wanavyotunga sheria zao kwa kuwabagua wanamichezo kuingia ktk uongozi kwa kisingizio cha elimu kitu ambacho hata FIFA hawana,hivi kwa mfano hawa wasomi lukuki tulionao wanatusaidia nini?watanzania tunadharauliana sana kwa ujinga wetu eti flani kasoma,huyu hajasoma sana...go to hell
 
Utendaje wa Mkoloni ambaye ni Katibu wa Mbunge ni sawa na Uwezo wa Anayejiita Prof. majimafupi? Je umejaribu kufatilia na kujua majukumu ya katibu wa Mbunge ni yapi?
 
Mbugeni hatuangalii elimu kama mtu anajua kusoma na kuandika na kafika form 4 hicho ni kigezo tosha kuwa mbuge,sasa sembuse katibu wa mbunge ambaye kazi yake hasa nikurekodi kumbukumbu au kumtunzia hizo kumbukumbu zote za mbunge awapo jimboni na kutunza hizo kumbukumbu na kutotoa siri ya hizo kumbukumbu na mara nyingi watu huwa wanawachagua watu wao waliokaribu nao sana ili kuepusha kusaliti kwa kuuza hizo nyaraka.
 
Huyo Mkoloni inawezekana alitia mchango mkubwa sana mpaka Sugu akaukwaa ubunge,hivyo si rahisi Sugu amtupe>ndiyo ilivyo,hata wewe ungefanyahivyo kwa washkaji zako wa karibu waliokuwezesha kufanikiwa kwenye siasa.Hata JK kaweka washkaji zake kwenye nafasi nyingi nyeti.Lazima uchague mtu ambaye unamuamini na mtafanya kazi bila matatizo.Usimlaumu Sugu kwa hili!
 
Mbona kuna wabunge wengi tu hawajasoma kama Prof maji marefu,ADEN RAGE,Vilevile katibu mbona wa mh waziri LUKIVU,mbona sio mtu wa IRINGA JIMBO LA ISIMANI yeye katokea MOROGORO anaitwa LEORNAD MKUDE,hakuna muhehe au mbena au mkinga anaitwa mkude,hapo unasemaje,nadhani kumchagua mtu inategemeana na mchango wake kwako na kama utaweza kufanya naye kazi,na ukumbuke MKOLONIN alikuwepo tangia mwanzo wa kampeni za SUGU.
 
Hii sio habari mpya,kwani Sugu alimteua Freddy Maliki 'Mkoloni' kama katibu wake mara tu baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge,na sasa ni takribani miezi 5.
 
Watu wa Mby walimpa kura Sugu kwakuwa hawakuwa na chaguo lingine bora. Yaani mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya alichafanya Sugu(kama hii habari ni ya kweli) kwasababu Mkoloni ni mwenyeji wa Tanga na sio Mby. Sugu kama mbunge anajukumu la kutatua matatizo ya ajira ya vijana wa Mby waliomwezesha kwa kumpigia kura na kuzilinda pale DSA, sasa ungetegemea ajira kwama hiyo ampe mwenyeji (mtu wa jimbo lake) anayeyajua matatizo na matarajio ya watu wa Mby. Siamini kama Sugu amekosa vijana wa Mby wenye sifa ya kazi hiyo na badala yake akampata Mkoloni.

Na hapa sio ishu ya ukabila au ukanda. Ni suala la mwakilishi(Mbunge) wa wananchi kujua matatizo ya wananchi na kuyapatia ufumbuzi. Kisiasa, hili ni kosa kubwa kwa Sugu, kama kuna watu makini ndani na nje ya Chadema, wanaweza wakalitumia kumwangusha(pamoja na mambo mengine) 2015. So far amepwaya ktk kujenga hoja na kuwakilisha hoja za wananchi. Chadema itawalazimu kuwa makini zaidi ktk kuchagua mgombea ubunge wa Mby mjini 2015, kwasabau wananchi wa Mby wanaweza wasisite kurudia kile walichomfanyia Polisya Mwaiseje(NCCR Mageuzi) ambaye alitumikia kw kipind kimoja tu(1995-2000).

Chukua tano kwelie hili mkuu. Chadema watampa ushahuri na anaweza kubadilisha mawazo .
 
Huyo Mkoloni inawezekana alitia mchango mkubwa sana mpaka Sugu akaukwaa ubunge,hivyo si rahisi Sugu amtupe>ndiyo ilivyo,hata wewe ungefanyahivyo kwa washkaji zako wa karibu waliokuwezesha kufanikiwa kwenye siasa.Hata JK kaweka washkaji zake kwenye nafasi nyingi nyeti.Lazima uchague mtu ambaye unamuamini na mtafanya kazi bila matatizo.Usimlaumu Sugu kwa hili!

Walikuwa bega kwa bega tangu mwanzo na ni mtu wake wa karibu mno' hakuna shaka yoyote juu ya uteuzi wake ukizingatia nafasi hii inatakiwa umpe mtu uliyekaribu naye.
 
Si ndo huyu jamaa akiwa na wenzake walikuwa wanaikosoa serikali kwenye nyimbo zao.Wauguzi,Tanga kunani? Matrafiki,kero za walimu n.k.Huyu ni msanii anayejua kazi yake na ameanza zamani kuwatetea wa tz.
 
Watu wa Mby walimpa kura Sugu kwakuwa hawakuwa na chaguo lingine bora. Yaani mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya alichafanya Sugu(kama hii habari ni ya kweli) kwasababu Mkoloni ni mwenyeji wa Tanga na sio Mby. Sugu kama mbunge anajukumu la kutatua matatizo ya ajira ya vijana wa Mby waliomwezesha kwa kumpigia kura na kuzilinda pale DSA, sasa ungetegemea ajira kwama hiyo ampe mwenyeji (mtu wa jimbo lake) anayeyajua matatizo na matarajio ya watu wa Mby. Siamini kama Sugu amekosa vijana wa Mby wenye sifa ya kazi hiyo na badala yake akampata Mkoloni.

Na hapa sio ishu ya ukabila au ukanda. Ni suala la mwakilishi(Mbunge) wa wananchi kujua matatizo ya wananchi na kuyapatia ufumbuzi. Kisiasa, hili ni kosa kubwa kwa Sugu, kama kuna watu makini ndani na nje ya Chadema, wanaweza wakalitumia kumwangusha(pamoja na mambo mengine) 2015. So far amepwaya ktk kujenga hoja na kuwakilisha hoja za wananchi. Chadema itawalazimu kuwa makini zaidi ktk kuchagua mgombea ubunge wa Mby mjini 2015, kwasabau wananchi wa Mby wanaweza wasisite kurudia kile walichomfanyia Polisya Mwaiseje(NCCR Mageuzi) ambaye alitumikia kw kipind kimoja tu(1995-2000).

very true!!!!
 
Mr sugu ni mbunge wakuchakuliwa,fine,lakini upande wangu ana haraka haraka badala ya ku wallk wallk ana run run.
Siku moja itamuharibia sifa yote kama kijana mbunge anaetegemewa.
Kwanini?
Vijana wa mby walipigia kura kama kijana atawasaidia katika hii dunia.
Vijana hao wasipopata viburidisho week end,waende wapi au kufanya nini?
Matokeo ni uhalifu kwa sababu hakuna kitu cha kufanya week end
 
Back
Top Bottom