Mbunge wa Mbeya alikuwa mkimbizi wa Kirundi, Je ni kweli?

hiyo habari ya mwanzo hakuna aliyethibitisha na wewe huna vithibitisho alafu unataka watu wajadili, huu uzushi!
 
hiyo habari ya mwanzo hakuna aliyethibitisha na wewe huna vithibitisho alafu unataka watu wajadili, huu uzushi!

Kumbuka ilipoletwa hii habari JF members walikuwa hawazidi 5,000 leo zaidi ya 42,000 members, kwa nini tusiulize? soma vizuri post yangu, inauliza ukweli.
 
Watu wakianza kufuatilia uraia au ukaazi wa wabunge/mawaziri lazima itakula ccm. naichie hapo.

Kumbuka wakati inawekwa hiyo habari humu JF huyu Mbilinyi hakuwa Mbunge wala aliyeweka hakuiweka kuwa alikuwa anaongelea uchama, tazama hata hiyo post iliwekwa kwenye entertainment. Leo mbilinyi ni Mbunge naona ni mahala pake akaweka hili sawa.
 
Kama una vithibitisho viweke hapa jamvini acha ushambenga!!

By the way hivi kimeo cha uraia wa Bashe mlishamaliza?
 
haiwezi kusaidia kutatua matatizo tuliyo nayo,tufikirie namna ya kutoka hapa,mambo ya ukimbizi hailipi
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Rostam ni kabila gani?alistahili kuwa mbunge ?

Mkuu hapa si suala la ukabila hapa ni suala la uraia. Hiyo post sikuisoma wakati huo. Lakini huenda kuna ukweli ndani yake kwa kuwa kuna kaka yake ambaye naye nasikia alijilipua huko ughaibuni na akawa anaishi kama mkimbizi huko Uholanzi kwa sasa nasikia yupo hapa nchini. Kuna wakati nilimsikia akiwa katika mambo ya akina Aunt Ezekiel!! Kwa mwendo huo huenda ikawa Mr II naye alijilipua. Akanushe habari hii.

Watanzania wengi sana walishajilipua kama wakimbizi wa Burundi na baada ya muda wanarudi lakini wanasahau kuuhuisha uraia wao. Kama Mr. II alifanya hivyo basi tena!!

Kuna watu wanasema ukitaka kuonekana wewe ni mchafu ama msafi kiasi gani basi ingia kwenye siasa!! Siasa itakuumbua
 
Kumbuka ilipoletwa hii habari JF members walikuwa hawazidi 5,000 leo zaidi ya 42,000 members, kwa nini tusiulize? soma vizuri post yangu, inauliza ukweli.

Mkuu uko sahihi kabisa kuuliza. Ni jambo jema sana kwamba umeileta hii post hata ambao hatukuisoma tumejikumbusha. Mkuu una kumbukumbu, 2007!!!
 
Rostam ni kabila gani?alistahili kuwa mbunge ?

Huna hoja. Kabila la Mtanzania lolote liwalo si kigezo cha Ubunge. Hapa tunaongelea mkimbizi wa Kirundi Uingereza, kama ni kweli au si kweli? na kama kweli lini alikuwa Mtanzania? na mkimbizi wa Kirundi ana uhalali wa kuwa Mbunge?

Rostam ni Mbulushi kwa asili na ni Raia wa Tanzania kwa kuzaliwa yeye na wazee wake na hajawahi kuwa mkimbizi. Wacha.
 
haiwezi kusaidia kutatua matatizo tuliyo nayo,tufikirie namna ya kutoka hapa,mambo ya ukimbizi hailipi

Tunataka kuujuwa ukweli tu. Maana kuna watu humu JF ukweli hawaupendi kabisa. Sasa tujadili kwa kina kuhusu huyu kijana machachari wa kutetea Watanzania, Jee, ni kweli alikuwa mkimbizi wa Kirundi?
 
Kwa wale wana JF wa zamani watakumbuka kuwa ilishawahi kuwekwa nyuzi humu kuhusu Mbilinyi kuwa ni mkimbizi wa Kirundi nchini Uingereza, Jee, ni kweli? kama ni kweli, ana uhalali wa kuwa mbunge wa Watanzania? tujadili:

https://www.jamiiforums.com/sports-...02-2-proud-aka-mr-ii-aka-joseph-mbilinyi.html
Yawezekana ni kweli katika kutafuta maisha na alipopata pesa na ideas za kusaidia bongo kama malaria no more akajivua gamba na kurudi, sasa sijui inafanananje na elimu ya nyalandu, mama nagu, udokta wa JK, na ufisadi wa magamba

Hivi unajua tuna waziri foreigner?

better nusu shari kuliko shari kamili
 
Kwani bashe ni Mbunge?

Mkuu naona hii inamkamata pabaya Mr. II. Kama hakurekebisha mambo yake kama marafiki zangu wengi ambao nawajua kuwa waliji;ipua kama wakimbizi wa Burundi wakaishi huko ughaibuni wakarudi bila kuomba upya uraia wa Tanzania, basi tena Mr. II huenda akawa si Riziki kwenye Ubunge!!
 
Si mna redio na TV tumieni vyombo vyenu kuwaambia watanzania habari hii. Mkitumia social network mtaumbuka. Hii ni two way communication mstarajie mlivyozoea kwenye radio mnaongea wenyewe pumba zenu bila feedback mnadhani na humu itakuwa hivyohivyo?

Shauri yenu mtaumbuka.
 
Yawezekana ni kweli katika kutafuta maisha na alipopata pesa na ideas za kusaidia bongo kama malaria no more akajivua gamba na kurudi, sasa sijui inafanananje na elimu ya nyalandu, mama nagu, udokta wa JK, na ufisadi wa magamba

Hivi unajua tuna waziri foreigner?

better nusu shari kuliko shari kamili

Mkuu MTM, hayo ndiyo mambo ya kujadili hapa. Kama kuna waziri foreigner atajwe tumjadili. Udaktari wa baadhi ya watu ni kichefuchefu na sijui kuna mtu wa kuwatetea. Ila udaktari wa JK ni sawa kabisa kwa kuwa ni wa heshima. Mimi nadhani wanatakiwa wachukuliwe hatua za kisheria. Kuna jamaa mmoja anaitwa msemakweli aliwaanika wengine wakasema wanmshitaki. Sijui nini kinaendelea. Kosa ni kosa tu uwe Magamba au Ngozi!! Kama magamba wana waziri foreigner ni kosa na asemwe na kama CHADEMA wana Mbunge Mrundi asemwe! Hii nchi ni yetu sote na hawa watu wanatutawala sote.
MTM lete habari
 
Back
Top Bottom