Mbunge wa Mbarali (CCM) kwenda jela miezi 10 au kulipa faini

Status
Not open for further replies.
huyo mjinga kweli bora akaozee jela hukohuko, wapinzani wanaingiaje kwenye hukumu yake ya jinai.

wapinzani ndio waliomtuma atishie kuua.?
kwanza hukumu ya miezi kumi inatosha kwa mtu aliyetishia kuua?
 
Twende mbele turudi nyuma,hukumu hiyo ni haki yake,lakini mbona mkuu wa mkoa aliyempiga risasi driver tax Tabora hakuhukumiwa au ndiyo double standard?
Pamoja na hayo kuna kinachoendelea nyuma ya pazia,mbunge huyu ni mwiba kwa CCM na serikali yake ndio maana hakuna support kwake.
Huwezi kuwa mwiba kwa ccm ukiwa ndani ya ccm huko ni kudanganya watu,..mwiba jiondoe ingia upinzani endelea kuwabana lakini hii mnaitana kwenye caucus ya chama utakuwa mwiba vipi!!
 
hehehehe hivi kuna mmbunge mwingine yeyote aliyewahi kuhukumiwa kifungo akiwa madarakani bado? :)
 
Ninawasiwasi na haya maamuzi inawezekana CCM kuna mchezo wanataka kucheza hii naamanisha kuna mbunge wa chama pinzani wanamtarget ila ili wasilaumiwe kwa uonevu wanaotaka kuufanya wanajifanya wametenda haki kwa mtu wa ndani kabisa ikijatokea wanamuhukum mpinzani yeyote tena kwa hukumu yakumpoteza kabisa na wakiona kelele za wananchi na malalamiko yanakua mengi basi watajitetea mbona hata mbunge wetu alihukumiwa jela. ngoja tuone mwisho wake ila hii hukumu si bure.

unaona ee?hlo pia kwa watu waelewa wanalibaini kwa mtindo huo.kikubwa kama hajaonewa basi katendewa haki,je atavuliwa kwanza ubunge?
 
Sasa hapa upotoshaji uko wapi, kupigwa fine au kwenda jela hiyo si hukumu?
 
lema na kesi ya mbunge wa ccm mbarali wapi na wapi? Wewe ndiye lukuvi nini???
daaaaaah! Kazi kwelikweli.......unganisha dot hizo.....lema aliridushiwa ubunge.......sumbawanga na igunga nao wakarudishiwa..........chochote kinaweza kutokea kwa hizi mahakama zetu...............halafu punguza jazba kwenye hiyo komenti yangu mbona haijakaaa kilukuvi kabisa
 
Mleta mada inabidi ale bani kwa kushindwa kuweka sawa taarifa yake.
 
Hahahahaaaaaaa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom