Mbunge wa Mbalizi (CCM) mbaroni kwa tishio la mauaji

Heading ya hii thread mbona tofauti na maneno yaliondikwa ndani nilidhani kaishapiga risasi mtu!
 
jaman mi nashangaa heading imebadilishwa tena ikawekwa makosa kibao kwanini lakini?.mimi niliandika MBUNGE WA MBALALI ATISHIA KUMUUA AFISA MTENDAJI KATA sasa wame-edit na wakaweka makosa tena dah!
 
Huyu ni Bwana Kilufi Mbunge wa CCM MBALALI na si Mbalizi kama mtoa topic alivosema. Kwakweli Tz twaenda kubaya kwani uyu jamaa katishia kuuwa na kamtishia Gamba mwenzake
 
huyu ni bwana kilufi mbunge wa ccm mbalali na si mbalizi kama mtoa topic alivosema. Kwakweli tz twaenda kubaya kwani uyu jamaa katishia kuuwa na kamtishia gamba mwenzake

walikuwa wanagombea nini vile??au wamefumaniana guest house!? Make magamba hamnazo kabisaa
 
Aden lager nae na pistol ilikuwa ya nini? Huyo tena Mbalali wote magamba. Ingekuwa ni CDM ungesikia chama cha fujo. Kweli mkuki kwa kitimoto tu lakini kwa............we acha tu.
 
we ni gamba kweli nani amekwambia kuna jimbo linaitwa mbalizi...km hujui ramani ya nchi na siasa unawashwa nini,si ulale!af unatoa tarifa nusu nusu,hufai kuwa great thinker ww.
Unaonaje ukijadili hoja badala ya kutumia lugha ambazo zinakushushia heshima yako.Hilo ni kosa la kisarufi tu lakini mantiki ipo palepale.Angalau ungejadili hoja iliyopo ambayo naamini ipo sawa.Hata kama inauma inabidi uwe mvumilivu we mtu mzima....!
 
Kasumba ya kujifanya wapo juu ya sheria hawa watu kunawafanya kujisahau na kutenda makosa bila chembe ya hofu..!Ni nafasi kwa jeshi la polisi Mbeya chini ya RPC Advocate Nyombi kujitofautisha na kuonesha kuwa angalau wanachukua hatua madhubuti za kisheria.
 
Hivi viongozi wa Ccm saiv kutembea gun imekuwa kama simu kiunoni, na kwa vile ni ccm wataleta zile zile za Ditopile kwamba ni bahati mbaya mara hakudhamiria, ccm mnatumaliza watanzania.
 
Back
Top Bottom