Mbunge wa Mafia na Ubaguzi wa maendeleo

Kirongwekwetu

Member
Apr 14, 2011
11
1
Masikitiko makubwa yapo kwa wakazi wa kaskazini mwa kisiwa Cha mafia.
wanasikitika eti mbunge wao anayarudisha nyuma makusudi maendeleo yao hasa ktk swala zima la Elimu.
1)PALE Kirongwe. Shule ya Sekondari haina walimu, haina umeme na haina maabara lakn huko kwao Kitomondo shule imejaa walimu , ina umeme na maabra
2) kaskazini hakuna barabara . Kule kwao kusini anaiboresha barabara japo kwa kutumia madongo.
KUBWA ZAIDI AMEKASIRIKA KUONA KASKAZINI KUMEJENGWA SHULE KWA MSAADA WA FADHILI JAMBO LILOMFANYA KUKATAA KATAKATA KUSHIRIKIANA NA WALIMU, KAMATI YA WAZEE.

HAJALI WATU WA KASKAZINI KIMAENDELEO
 
..the answer is simple, Kaskazini mfano Bweni, Kanga, Kirongwe nk ni extremists wa CUF so unategemea nini kwa watu wa visasi wa CCM?
 
Masikitiko makubwa yapo kwa wakazi wa kaskazini mwa kisiwa Cha mafia.
wanasikitika eti mbunge wao anayarudisha nyuma makusudi maendeleo yao hasa ktk swala zima la Elimu.
1)PALE Kirongwe. Shule ya Sekondari haina walimu, haina umeme na haina maabara lakn huko kwao Kitomondo shule imejaa walimu , ina umeme na maabra
2) kaskazini hakuna barabara . Kule kwao kusini anaiboresha barabara japo kwa kutumia madongo.
KUBWA ZAIDI AMEKASIRIKA KUONA KASKAZINI KUMEJENGWA SHULE KWA MSAADA WA FADHILI JAMBO LILOMFANYA KUKATAA KATAKATA KUSHIRIKIANA NA WALIMU, KAMATI YA WAZEE.

HAJALI WATU WA KASKAZINI KIMAENDELEO

Kuna mush'keri kwenye habari yako.

Itakuwa vizuri sana kuzijua kazi za mmbunge na kazi za baraza la madiwani chini ya mwenyekiti wa Halmashauri ambazo zinaongoza Halmashauri nzima ya Mafia.

Kwa kukusaidia, kazi ya mbunge sio kupeleka (allocate) waalimu au kujenga barabara. Hizo ni kazi za baraza la madiwani mbunge akiwa ni mjumbe ikishirikiana na halmashauri.

Sasa naona inakuwa sio busara kushusha tuhuma hizo kwa mbunge pekee labda ulilaumu baraza zima la madiwani na halmashauri nzima.

Tufikiri kabla kuandika, isije ukawa una chuki binafsi na mbunge.
 
Masikitiko makubwa yapo kwa wakazi wa kaskazini mwa kisiwa Cha mafia.
wanasikitika eti mbunge wao anayarudisha nyuma makusudi maendeleo yao hasa ktk swala zima la Elimu.
1)PALE Kirongwe. Shule ya Sekondari haina walimu, haina umeme na haina maabara lakn huko kwao Kitomondo shule imejaa walimu , ina umeme na maabra
2) kaskazini hakuna barabara . Kule kwao kusini anaiboresha barabara japo kwa kutumia madongo.
KUBWA ZAIDI AMEKASIRIKA KUONA KASKAZINI KUMEJENGWA SHULE KWA MSAADA WA FADHILI JAMBO LILOMFANYA KUKATAA KATAKATA KUSHIRIKIANA NA WALIMU, KAMATI YA WAZEE.

HAJALI WATU WA KASKAZINI KIMAENDELEO
Ni sababu zipi alizozitoa kukataa kuwemo ktk kamati ya wazee? Na ktk shule ipi ya Bweni/kirongwe?
 
Back
Top Bottom