Mbunge wa kilwa kusini anaonewa kwasababu hana elimu

ajabu

Member
Jul 14, 2011
38
3
Nape Nnauye ameenda kilwa kusini na kumtukana sana mbunge wao bwana Suleiman Bungala maarufu ***** na kumwambia kuwa ccm wana dola hivyo wata hakikisha wanampokonya kiti kwa sababu yeye ni CUF, jamani kwani kampeni si zilisha malizika? sasa huu ni ubabe au?ccm ubabe sio mzuri banaaa
 
Back
Top Bottom