"Mbunge" wa Karagwe asindikizwa na Polisi kwenda nyumbani

Hizo ndiyo tabia ya Mtawala kwamba lazima awe na ulinzi. Lakini kama angekuwa amechaguliwa kama kiongozi wa watu angekuwa anabebwa na kushangiliwa badala ya kuzomewa.

Inasikitisha sana. Lakini tukumbuke kuwa huyu ni mbunge wa thithiem na siyo wa wananchi ndio maana wamekuwa maadui zake baada tu ya kutangazwa matokeo.
 
kwa hiyo watamsindikiza hadi Dodoma? kama vipi muombeeni dua gharika imshukie popote alipo basi,no way out
 
Hao ndio wanasiasa uchwara waliojaa nchini.Sisi waislamu tumefundishwa kwamba Kiongozi yeyote atakayepata madaraka kwa hila,LAANA ya Mwenyezi Mungu iko juu yake mpaka atakapoondoka madarakani.
 
Back
Top Bottom