Mbunge wa Kahama Bw. James Lembeli atangaza kugombea Uenyekiti Mkoa wa Shinyanga

Inaonekana watu wanajua nani kambi ya kifisadi na nani kambi inayopambana na ufisadi. Vita hii inakuwa kama ni vita ya mwanga na giza, au hata vile mungu na shetani. Kinachoshangaza iwapo watu hawa wataachiwa wapambane yule ambaye anaitwa sheitwani anaweza kuibuka mshindi, na watu wakaenda kwake kula ubwabwa.
 
Back
Top Bottom