Mbunge wa Ilemela ashinda kesi ya kupinga matokeo

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Katika kutimilika kwa kauli ya "Penye ukweli,uongo hujitenga." Kwa habari zilizopo hapa jijini Mwanza ,Mbunge wa jimbo la Ilemela, kamanda Highness ameshinda kesi yake ya pingamizi dhidi ya Dialo- ccm a.k.a Magambaz.

Kesi hii ilikuwa chini ya wakili Tundulisu kamanda wa ukweli. Huu ni ushindi kwa watanzania wote kuelekea Tanzania mpya tuitakayo. Naomba kuwasilisha. Source: Macho na masikio yangu.
 
Katika kutimilika kwa kauli ya "Penye ukweli,uongo hujitenga." Kwa habari zilizopo hapa jijini Mwanza ,Mbunge wa jimbo la Ilemela, kamanda Highness ameshinda kesi yake ya pingamizi dhidi ya Dialo- ccm a.k.a Magambaz.Kesi hii ilikuwa chini ya wakili Tundulisu kamanda wa ukweli. Huu ni ushindi kwa watanzania wote kuelekea Tanzania mpya tuitakayo. Naomba kuwasilisha. Source: Macho na masikio yangu.
...ahsante sana mkuu kwa taharifu..."PALIPO NA MWANGA GIZA HALIKAI"...
 
Inapendeza pale haki inapoonekana ikitendeka. Je, kasi ya kuendesha kesi zote itaongezeka? manake kwa mwendo huu, huenda hizi kesi zikaisha mwana 2018!
 
Hongereni sana Umma wa Tanzania kwa mwanga kushinda giza kule Ilemela. Pamoja sanaaaa!!!!!!!!!!!
 
Kama ni kweli basi ajipange vyema ili awape wapiga kura wake utumishi uliotukuka. Nadhani pingamizi lilikuwa linamsumbua ndio maana akawa amepouuuwa!.
 
Mkuu unajichanganya kidogo angalia hii.

Kwa habari zilizopo hapa jijini Mwanza

Source: Macho na masikio yangu.

Kauli ya kwanza inaonekana kama umesikia kwa mtu mwingine,lakini kauli ya pili unatuambia kuwa source ni macho na masikio yako..rekebisha kidogo.
 
Kama ni kweli basi ajipange vyema ili awape wapiga kura wake utumishi uliotukuka. Nadhani pingamizi lilikuwa linamsumbua ndio maana akawa amepouuuwa!.

Mkuu soma mtanzania toleo namba 5892 la siku ya Jumatano,machi 7,2012 ukurasa wa 18 na 19 ndio uje useme kuwa Kamanda Highness alipoa au ni porojo zako..na sijui wewe una-define kupoa kwa style ipi.
 
Mkuu unajichanganya kidogo angalia hii.





Kauli ya kwanza inaonekana kama umesikia kwa mtu mwingine,lakini kauli ya pili unatuambia kuwa source ni macho na masikio yako..rekebisha kidogo.

Onyesha furaha yako, makosa ya kiuandishi sometimes unarekebisha mwenyewe!
 
Back
Top Bottom