Mbunge wa Ilala (CCM) Mussa Azzan Zungu aula!

pamoja na kumkubali huyu mbunge ana siri nzito sana imejificha yaani siku mtu akija akisema lazima atajiua kwa aibu atakayoipata ila naye atakayesema atakuwa na moyo wa chuma kwa ujasiri akizungumza kwa watu ili wamuelewe maana lazima na wewe uwe akili zisiwe zako. jamani humu duniani kama mabati ya nyumba za watu yangekuwa yanaongea siju mwenzangu wewe ungeuficha uso wako wapi mbele ya jamii ila mungu na shetani tu ndio wanakujua uko kwenye kundi gani. duh binadamu tuangaliane na tusalimiane tu.

mdau weka mambo hadharan bhana,,,,,hapa ndo jf
 
UKI vipi hapa si tumekubaliana kuwa we dare to speak openly; inakuwaje mkuu hufunguki?
 
Last edited by a moderator:
pamoja na kumkubali huyu mbunge ana siri nzito sana imejificha yaani siku mtu akija akisema lazima atajiua kwa aibu atakayoipata ila naye atakayesema atakuwa na moyo wa chuma kwa ujasiri akizungumza kwa watu ili wamuelewe maana lazima na wewe uwe akili zisiwe zako. jamani humu duniani kama mabati ya nyumba za watu yangekuwa yanaongea siju mwenzangu wewe ungeuficha uso wako wapi mbele ya jamii ila mungu na shetani tu ndio wanakujua uko kwenye kundi gani. duh binadamu tuangaliane na tusalimiane tu.

Hivi jina Zungu ni lake halisi au ni a.k.a ?
 
Innocent till proven guilty. Zungu hauzi poda. Jina tu limekaa kipoda poda

Hivi ni jina lake halisi au ni a.k.a ? Kama ni jina halisi tangu shule ya Chekechea, sina wasi wasi wo wote, lakini kama alipewa jina "Zungu" ukubwani linawekuwa na historia fulani.
 
Hilo ni a.k.a
Si unajua tena mitaa ya bungoni na amana!
 
Spika wa Bunge hilo,Anne Makinda amesema leo kwamba amechaguliwa baada ya kamati ya uongozi kukaa na kupitia majina ya waliopendezwa lakini jina lilopendekezwa lilikua moja tu la Zungu hivyo akawaomba wabunge kulithibitisha jina hilo nao wamefanya hivyo..
Kama wabunge wengine waliona kuna umuhimu wa kuwania nafasi hiyo, wangependekez majina mengi zaidi, lakini kwa kuwa jina lililopelekwa ni MOJA TU, ama hawakupeleka mengine kwa sababu ni nafasi ya kipuuzi (another silly issue a long with silly season, silly budget, silly contributions, all in all, silly parliament) au wanakubaliana na uteuzi wake. Kwa hivyo tuuchune tuendeleze other silly issues.
Jana Lissu amenipatia msamiati ambao nitaumia kwa muda mrefu in this silly country.
 
Hilo ni a.k.a
Si unajua tena mitaa ya bungoni na amana!

Asante Mkuu. Kama hilo jina ni a.k.a na sio jina halisi tangu utotoni, basi sisi Watoto wa Kitaa kuna watu tulikuwa tunawaita "Mzungu wa Unga" ikimaanisha anahusika na biashara fulani, je hili nalo laweza kuwa na maana hiyo ?
 
Inawezekana kabisa lkn si unajua sometimes washikaji wanaweza kupa a.k.a hata kama hufanyi jambo hilo? Muonekano wako tu unaweza kukufanya uukwae a.k.a fulani.
e.g. unaweza kuwa ni mtu wa kitambi halafu unapiga yenu hadi kifuani, then washikaji wanakupiga na 'papa mukulu' lkn huna hata chembe ya DRC
 
Lakini Mkuu si unaona sasa tabia yako ya kupiga suruali aina ya mayenu itakutunukia a.k.a hiyo. Sasa kwa nini Mzungu wa Unga upewe tupu tu bila ku-practise tabia au Maisha ya Wazungu wa Unga?
 
pamoja na kumkubali huyu mbunge ana siri nzito sana imejificha yaani siku mtu akija akisema lazima atajiua kwa aibu atakayoipata ila naye atakayesema atakuwa na moyo wa chuma kwa ujasiri akizungumza kwa watu ili wamuelewe maana lazima na wewe uwe akili zisiwe zako. jamani humu duniani kama mabati ya nyumba za watu yangekuwa yanaongea siju mwenzangu wewe ungeuficha uso wako wapi mbele ya jamii ila mungu na shetani tu ndio wanakujua uko kwenye kundi gani. duh binadamu tuangaliane na tusalimiane tu.

Alikushughulikia?
 
Wapo wengi,tusubiri tu tuone itakuwaje.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
59f2d0b6-238e-8784.jpg

Kazi ipo mwaka huu tusubiri tuone isije kuwa haya

Back
Top Bottom