Jimbo liko wazi hili 2015 tunachukua jimbo letu. M4C daima
mkuu hiyo ni tofauti ndogo sana ya kura,hilo jimbo 2015 chadema tunachukuaHaya ndiyo yalikuwa matokeo ya Jimbo la geita baada ya Uchakachuaji
MWANZA
WILAYA YA GEITA GEITA Candidate Political Party Number of Votes Percentage VotesDONALD KEVIN MAX CCM33,331 54.02 RUHEGA JOSEPH ROGERS CHADEMA20,028 32.46 MALEBO PETER MICHAEL CUF5,594 9.07 BASHIRY MATHIAS BAYONA NCCR-MAGEUZI646 1.05 SPOILT VOTES 2,104 3.41 TOTALS 61,703 100
ni fedhea mbele za watu eti unashindwa kulinda na kutetea maslai ya wananchi instead u work for party interests,hayo ndo mafruitskisa ni kuwatetea diwani na mtendaji wa kata ya nkome.hii imetokea kwenye mkutano wa hadhara.
Source ITV
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Pale geita hospital kuna kipindi wagonjwa wa kisukari wakienda clinic wanarudishwa bila kupima sukari kwa sbb strips zimeisha yeye yuko bize ku- slim ili afanane Dini na Jk. Huyu jamaa sijui alipataje ujasiri wa kugombea ubunge? Historia yake mimi naijua kuanzia pale alipokuwa corpcort anaiba wakulima wa Pamba,sijui shetani gani aliwaingia wanageita kulipa hili jamaa jukumu la kuwawakilisha? MAX mwenyewe yukoje mnajua? Ni mtu wa nguruwe, pombe na malaya! Hana dira wa mwelekeo, ni kama mzuri upepo ulivuma kuelekea kwake na kikomo chake ni 2015. M4C wekeni kambi Mkoa wa Geita, majimbo yote yako wazi ona .JIMBO la nyang'hwale-KASSU darasa la nne, Jimbo la Busanda- Bukwimba- hajielewi yupoyupo tu. Jimbo la Geita- Max. MWIZI.
Angeshikishwa adabu ili aonje machungu ya M4C. Akifika bungeni June akawasimukie.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Movement for carnage God forbidM4C no apology
gamba mkuu CCM
Nilifikiri wapiga kura wa jimbo lote, KUMBE ni wa kijiji kimoja. Hawatutishi
Nilifikiri wapiga kura wa jimbo lote, KUMBE ni wa kijiji kimoja. Hawatutishi
itv saa 2 wameripoti na kuonyesha wananchi wakifumukuza mbunge, diwani na mtendaji pale nkome kwa sababu wananchi wanasema hawa ni majambazi na hawamuhitaji. Mbunge huyu alikuwa anafanya mkutano wa hadhara na wananchi. Mkutano umevurugika na kuvunjika!!! Na mbuge akakimbilia vichochoroni kunusuru maisha yake.