Mbunge wa Geita Anusurika Kichapo Jimboni Geita!! Mkutano Wavunjika

Halafu huyo mbunge wa CCM akifika bungeni ataanza kupiga kelele waziri wa TAMISEMI anafumbia macho ubadhirifu kwenye halmashauri yake! Incidentally, wabunge wa CCM kwa sasa wanamtaka Mchukuchika aachie ngazi wakati huo huo huyo mbunge anawalidha wabadhirifu kwenye kata yake!
 
M4C kweli imefanya kazi...wananchi kumpiga mbunge wao.!!??
 
Moderators tunaomba kuunganishwa kwa thread za huyu mbunge zimeshakuwa nyingi mnoooo.!!?
Tatizo kuna watu humu siku hizi utadhani JF inatoa pesa/malipo kwa mtu anayeanzisha thread!!....utashangaa habari ipo hewani kwenye TV kabla haijakwisha mtu anakuwa ameshapost humu.

Sasa uandishi wa namna wa kivoda fasta tunakuwa hatuwandei haki wenzetu ambao wako mbali na nyumbani na wanategemea JF kama News Breaker yao.

Kuna wakati humu mtu anaanzisha thread inakuwa na heading tu huku maelezo anaandika tu source: ITV, nadhani tunapaswa kubadilika.
 
ni utamaduni wa wenye nchi kutumia nguvu zao zote kukana hata mambo yaliyo wazi. Natumaini utamaduni huu unaanza kupata mapingamizi ya wazi taratibu na nadhani .inabidi wajipange sana kwani si dalili nzuri kwa upande wao.

Sio lazima tumalize miaka hii ya awamu ya Kikwete na madudu yote haya ya ubadhirifu, rushwa, kulindana, ufuska na ufisadi; so sometimes you may understand such reactionary actions.

I don't condone entirely but I do understand.
 
Hivi huyu Tizeba si anapigiwa upatu na magamba wenzie awe Waziri? ama kweli Magamba wote wameoza, sijui JK atapata wapi mawaziri waadilifu.
Tutegemee michwa mingine kwenye Baraza lijalo.
 
Halafu huyo mbunge wa CCM akifika bungeni ataanza kupiga kelele waziri wa TAMISEMI anafumbia macho ubadhirifu kwenye halmashauri yake! Incidentally, wabunge wa CCM kwa sasa wanamtaka Mchukuchika aachie ngazi wakati huo huo huyo mbunge anawalidha wabadhirifu kwenye kata yake!

naona wakati wa viongozi kuwajibika kwa wananchi umefika.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Tatizo kuna watu humu siku hizi utadhani JF inatoa pesa/malipo kwa mtu anayeanzisha thread!!....utashangaa habari ipo hewani kwenye TV kabla haijakwisha mtu anakuwa ameshapost humu.

Sasa uandishi wa namna wa kivoda fasta tunakuwa hatuwandei haki wenzetu ambao wako mbali na nyumbani na wanategemea JF kama News Breaker yao.

Kuna wakati humu mtu anaanzisha thread inakuwa na heading tu huku maelezo anaandika tu source: ITV, nadhani tunapaswa kubadilika.
Nashukuru kwa kusema hilo sisi hapa ndipo tunapopatia habari kwa hiyo tunaomba zisiishie hewani kwa kuambiwa tu source ITV. Pamoja na hila tunashuluru kwa kutupa taarifa.
 
Na alivykosa Haya, alipoulizwa kwa simu akabisha...
Geita 1.jpg Geita 2.jpg Geita 2.jpg
 
Nashukuru kwa kusema hilo sisi hapa ndipo tunapopatia habari kwa hiyo tunaomba zisiishie hewani kwa kuambiwa tu source ITV. Pamoja na hila tunashuluru kwa kutupa taarifa.
nadhani hii taarifa itarudiwa usiku na kesho asubuhi,hivyo kama unataka taarifa ndefu na kina jaribu kufuatilia matangazo ya ITV.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom