Mbunge wa Chadema kumbe makazi yake ni Marekani anakuja Tanzania bungeni

Wana JF.
Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia M Nyerere, Makazi yake yapo Washington DC Marekani yeye pamoja na Familia yake.
Watoto wake wanasoma Marekani Maryland, uwa anakuja Tanzania wakati wa vikao vya bunge tu kule Dodoma, baada ya vikao bunge anarudi zake Marekani, Chadema sijui walitumia vigezo gani kumchagua huyu mbunge mkazi wa Mareka na wakaacha wakazi Tanzania.

Wewe nawe...kipi cha ajabu?!...Mbona DAUD BALALI anaishi kuzimu na huwa ana twitt...sembuse mtu aliye Marekani?
 
Kweli TANZANIA KUNANUKAAAAAAA!zanyumbani kikwete a.k.a baba rizimoja anakula sappa kwa malkia,breakfast kwa "morroco"sory!i mean kwa cammeron,miguu anatawadhia kwa angela mekhel,kwani kuishi marekani kunawakera nin?DUNIA NI Kijiji!anawatumikia watz kiukamilifu,tofauti na ivyo asingepata nafasi!WEWE JUHA MDOGO,UMESHAWAHI SIKIA HUYU MH. LETYISIA NYERERE AKIWA NA KASHFA KAMA ZA MAGAMBA YENU?
 
Wana JF.
Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia M Nyerere, Makazi yake yapo Washington DC Marekani yeye pamoja na Familia yake.
Watoto wake wanasoma Marekani Maryland, uwa anakuja Tanzania wakati wa vikao vya bunge tu kule Dodoma, baada ya vikao bunge anarudi zake Marekani, Chadema sijui walitumia vigezo gani kumchagua huyu mbunge mkazi wa Mareka na wakaacha wakazi Tanzania.
Sishangai mtoa mada,kwani yaonyesha amekurupuka na kuingia choo cha kike,naomba aniambie ni wabunge wangapi wa bunge letu kama si robo tatu aidha wanaishi daresalaam?je mbunge kuishi nje ya eneo la kazi ni kigezo kwamba hafikishi matatizo ya wananchi wa jimbo lake?nimrod mkono,makongoro,hamad rashid ,cheyo n.k wanaishi dar,je wamesahau kero na matatizo ya wananchi wao?au kwa vile anatoka chadema imekuwa tatizo?mi nadhani watanzania umefika wakati wa kujadili ni jinsi gani tunaweza kukabiliana na matatizo ya kiuchumi na ombwe la kisiasa ambalo halina tija kw sasa.tuna mabo mengi ya kujadili ndani ya jf kama vile shule zetu za kata kutokuw na vifaa muhimu,zahanati zetu kukosa maawa na mengine mengi.
 
Kwani hata hawa wabunge wetu hawakai katika majimbo ya especially hawa wa ccm wanakuja tu kipindi cha kuomba kura zetu. Mbona hawa hamuwazungumzii?
 
Mbona hakuna tofauti na wale wabunge wengine waliop hapa hapa Nchini Tanzania
lakini wanaonekana majimboni wakati wa kuomba kura tu?
 
Katika ulimwengu wa leo hakuna tofauti ya Mbunge wa kuchaguliwa wa Rorya anayeishi Mwanza na Mbunge wa viti maalum anayeishi USA. the world is too small nowdays what about Mbunge wa Tukuyu anayeishi Dar is there any different??
 
Yawezekana anasaka mahela baada ya kuona udwanzi mwingi TZ. Yumkini anasababisha maujanja mengi ya kutoka kimaisha anayoyapata huko ughaibuni. Kama amesimama vyema katika nafasi yake ya ubunge sioni kosa kwa yeye kuishi Marekani ukizingatia kanchi ketu kanavyokera sometimes kanafaa kurekebishwa ukiwa nje yake. Kama mwana CCM ama CHADEMA atakavyoona suruhu ya kurekebisha uozo ni kuwa nje ya CCM/CHADEMA hilo sio baya lenye kudhuru bali ni baya lenye faida.
 
Ndio maana huyu mbunge hata Kiswahili vizuri anajifanya hajui, akiongea mimi huwa nasema "mswahili akipata...".

Halafu alishadidia na kushikia bango sana Uraia wa nchi mbili, Kumbe ana maslahi binafsi.

Mie nnavyowaambia watu Tanzania kuna fursa nyingi sana huwa hawataki kuamini.
 
Katika ulimwengu wa leo hakuna tofauti ya Mbunge wa kuchaguliwa wa Rorya anayeishi Mwanza na Mbunge wa viti maalum anayeishi USA. the world is too small nowdays what about Mbunge wa Tukuyu anayeishi Dar is there any different??

Kubwa sana.
 
Inasikitisha watu wameweka mapenzi ya chama mbele ... Mkuu barubaru akiwahi kumzungunzia huyu mbunge pro cdm kama kawa mkaja na majibu ya kashfa ... Kubalini hapo mmechemka .. huwezi kufananisha mbunge Anaye ishi Dar na anayeishi states na kuja kuhudhuria vikao tu .. na pia huwezi kufananisha safari za rais na huyu mbunge anayeishi states kwani rais akisafiri kuna serikali " baraza la mawaziri kaliacha nyumbani " huyu mbunge kamuacha Nani ..? Isitoshe mshaambiwa anaishi kule yeye na family yake yote ... Pro cdm sometimes jaribuni kufikiri sio mnatetea upumbavu as long anayefanya anatoka cdm .
 
Mkuu vipi Mbunge wa Masasi kuishi Dar yeye na familiya yake yote na tena watoto wao hawajawahi kusoma shule za kata wala hawazijui zinafananaje?? Angalizo mimi si pro-cdm but just a free thinker
 
Mkuu vipi Mbunge wa Masasi kuishi Dar yeye na familiya yake yote na tena watoto wao hawajawahi kusoma shule za kata wala hawazijui zinafananaje?? Angalizo mimi si pro-cdm but just a free thinker

Na kura zake aliziomba akiwa Dar.
 
Na kura zake aliziomba akiwa Dar.
Kwani alipeleka familia yake huko Masasi (ni mfano tu) ?? Tukirudi kwenye mada huyu dada Leticia aligombea Ubunge Kwimba alifanya Kampeni kweli kweli lakini bahati haikuwa yake sasa hivi ni Mbunge wa kuteuliwa hawakilishi Jimbo lolote!!! Sina hakika kama alipeleka familia yake huko wakati wa Kampeni pale Serengeti sikuona Dr. Kebwe akileta familia yake Mugumu wakati wa Kampeni mkuu wangu if you know one who has done that tujulishe
 
Peleka upumbavu wako kwa mama yako.we unamjua huyo tu?bora anaish huko kulko ku2mia naul mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom