Mbunge wa Chadema kumbe makazi yake ni Marekani anakuja Tanzania bungeni

Mara ya mwisho mwaka jana nimekutana nae Maryland, Bowie State University alikuwa kaja kumuona binti yake anasoma pale.
 
je anatumia hela ya umma kwenda huko? Leticia na kikwete nani anatumia raslimali za nchi vibaya. bora Leticia tunajua ana familia huko anayo enda kuiona je kikwete?.
Acha kufuatilia maisha mtu binafsi.
Nataka tuzungumzie watu wanaotumia vibaya kodi ya walala hoi sio wale wanaotumia kipato chao halali kwenda usa.
 
Wana JF.
Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia M Nyerere, Makazi yake yapo Washington DC Marekani yeye pamoja na Familia yake.
Watoto wake wanasoma Marekani Maryland, uwa anakuja Tanzania wakati wa vikao vya bunge tu kule Dodoma, baada ya vikao bunge anarudi zake Marekani, Chadema sijui walitumia vigezo gani kumchagua huyu mbunge mkazi wa Mareka na wakaacha wakazi Tanzania.

Kuna Rais mmoja wa afrika mashariki, katika kipindi cha miaka SITA amekaa nchini kwake miaka MITATU tu, sasa unatarajia nini kutoka viti maalum.

Thibitisha hii habari yako, kuwa na watoto wanaosoma nchini haimaanishi unaishi nchini.
 
Unamzungumzia nani huyo; Yule waziri wa Biashara wa CCM, Nyalandu (aka Mzee wa 'Marekani Wananitaka Niwe Rais Wenu'), au unamzungumzia yule wanabe Mbunge wa Mtera Malecela Junior wa jijini New York???

Kama ulikua unamzungumzia Leticia wala si mtu wa kuulizana saaana juu ya nyumbani kwao Butiama kwa Baba yetu asiyefungamana na kitu UFISADI.

kati ya watu ambao hawajui kitu nawewe upo sana
 
Aisee,CDM hakifai.Huyu analipa kodi kwa Obama,halafu anakula kodi zetu hapa Tanzania.

Kaka Chadema wenyewe wanasema nisifuatilie maisha ya mtu hakuna kosa kukaa Marekani lakini ni mbunge Tanzania.
 
Mara ya mwisho mwaka jana nimekutana nae Maryland, Bowie State University alikuwa kaja kumuona binti yake anasoma pale.

Kumbe hili punga!

Kukutana naye tu? Mimi nakutana na Kikwete mara kibao. Nimekutana naye DC mara 2 mwaka huu, nimemuona Ontario na kuna kipindi nilikutana nae Viena.

Kama nia yako ulitaka tujue uko wapi basi hayo mambo kafanyie kijijini kwenu. Mtu kaja kumuona binti yake we yanakuhusu nini?
 
Wana JF.
Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia M Nyerere, Makazi yake yapo Washington DC Marekani yeye pamoja na Familia yake.
Watoto wake wanasoma Marekani Maryland, uwa anakuja Tanzania wakati wa vikao vya bunge tu kule Dodoma, baada ya vikao bunge anarudi zake Marekani, Chadema sijui walitumia vigezo gani kumchagua huyu mbunge mkazi wa Mareka na wakaacha wakazi Tanzania.

Leta uthibitisho, otherwise huu ni umbea na udaku wa k.ke
 
Wana JF.
Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia M Nyerere, Makazi yake yapo Washington DC Marekani yeye pamoja na Familia yake.
Watoto wake wanasoma Marekani Maryland, uwa anakuja Tanzania wakati wa vikao vya bunge tu kule Dodoma, baada ya vikao bunge anarudi zake Marekani, Chadema sijui walitumia vigezo gani kumchagua huyu mbunge mkazi wa Mareka na wakaacha wakazi Tanzania.

Labda tuanzie kwa Rais JK atueleze yeye makazi yake ni wapi wakati kila kukicha ni kiguu na njia.
 
Ndo maana nasema,tanzania hakuna mwanasiasa mwenye uchungu na nchi yetu.wote chadema,nccr,cuf na ccm wezi tu..jitu linaishi marekani,litakaa saa ngapi kujua matatzo ya wananchi huku bongo.
 
ukweli ni upi wana cdm? hapa ndipo tatizo la cdm fans linapokuja kwao kukosolewa ni pollonium 210 hata hili swala japo sijui kama lina ukweli lakini wameshaanza kulihalalisha na kulipaka lotion na uturi. Sisi jimboni tulimkataa mbunge mwenye makazi dar kumbe kuna wenzetu wengine wana mbunge aneyeishi US. chama makini hiki!
 
Sasa sijui Watanzania anawatumikia muda gani sababu hata huko bungeni hakuna mchango wowote anaotoa kwa taifa. kama sasa sidhani kama yupo Tanzania.

Sioni shida, Marekani ni karibu kutoa karagwe, au mpanda kuliko dar na Mpanda au Dar na mpanda.
Wabunge wetu wote hasa wa ccm wanakaa dsm, wanaongea ***** bungeni.
Mbona ccm ina wabunge ambao si raia/hawakuwa raia wa nchi hii.
1.Rostam azizi
2.Razaro Nyarandu
3.Andrew Chenge
4
6
7
 
Kumbe hili punga!

Kukutana naye tu? Mimi nakutana na Kikwete mara kibao. Nimekutana naye DC mara 2 mwaka huu, nimemuona Ontario na kuna kipindi nilikutana nae Viena.

Kama nia yako ulitaka tujue uko wapi basi hayo mambo kafanyie kijijini kwenu. Mtu kaja kumuona binti yake we yanakuhusu nini?

Kaka mbona jazba wewe niite upendavyo lakini ukweli ndiyo huo mbunge wetu ni mkazi wa Marekani
 
tatizo sio kukaa Marekani, kama ni raia watanzania ana haki ya kwenda popote anapotaka, acheni uzushi usio na facts, tuchape kazi tujiendeleze mkiwategemea wabunge imekula kwenu.
 
Hebu tukalishughulikie kwanza hili la Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye, licha ya kudaiwa kuwa ni rais wa nchi hii, kimahesabu imebainika kuwa ameweza kuishi nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 4 na nusu (kwa mtaji wa safari zake nje ya nchi zisizokatika) na kututumikia kwa mwaka 1 na nusu tu hadi hivi sasa alivyoingiza mwaka wa 6 kwenye utawala wa nchi hii.

Na ukweli wa mambo ni kwamba hii tabia ya Mzee wa Davos kule kuishi kwingi sana nje ya nchi ndio imesababisha uchumi wetu kuendelea kudorora maana wasaidizi wake wote baada ya kugundua ubovu huo sasa kila siku humfanyia tu usanii wa kusukumiwa mi-ripoti ndeeefu ya 'utendaji' lakini usiokua na tija kwa taifa.

Yaani uache kuzungumzia Mh Kikwete unamrukia Leticia, wewe ni kichaa kweli kweli mkuu!!!!!!!!!!!!

Sasa sijui Watanzania anawatumikia muda gani sababu hata huko bungeni hakuna mchango wowote anaotoa kwa taifa. kama sasa sidhani kama yupo Tanzania.
 
Dr Mkumbo anahusika na uteuzi huu.

Alilipwa mihela ya consultancy fee ili ateue wabunge viti maalum......matokeo yake ni haya? ...UFISAIDI kama mwingine.

Letisia anatusanifu tu, ndo maana hata hawezi kuongea maneno mawili bungeni bila kuchanganya na ung'eng'e wa kimarekani.
 
Back
Top Bottom