Mbunge wa CCM wilayani Misenyi akimbiwa kwenye mkutano wa hadhara

Na bado, watazomewa sana, CCM hatuitaki na niwakati wake sasa kuwa chama cha upinzani
 
Haha! Haha! haha! Hii ndio nguvu ya umma kwa mengi zaidi soma FACEBOOK
 
Mbunge wa jimbo la nkenge wilayani misenyi,Mhe.Assumpta.M.(CCM) akimbiwa ktk mkutano wa hadhara aliouitisha ktk kata ya ishozi,baada ya kushndwa kutoa majawabu kwa wananchi wa kata hyo hasa alipotakiwa kutoa sababu za kwnn alitaka kupeleka hoja binafsi ya kuwa umeme vijijini lisiwe kipaumbele,aliposhndwa kutoa ufafanuzi huo wananchi waliondoka nakuachwa pekeyake pmoja na msafara wake.YAANI ALITIA HURUMA,kazi ni kwake

Mimi namsubiri MP wangu aje aniambie WHY HAKUTIA SAHII kwa ZK....
 
Ufahamu wa wananchi umekuwa mkubwa siku hizi, wabunge wasipo tofautisha majukumu ya kijimbo na ya kichama itakuwa kama hivi awe wa CCM au CDM
 
Heh; jamani dada yangu! Japo mi ni CDM lakini huyu dada asipokuwa makini na watu wa jimboni kwake atapata shida. Nakumbuka hata wakati wa Kampeini aliambiwa aongelee mambo ya kwake na asiongelee mambo ya CCM na JK, kilichomsaidia ni kwamba cdm walikuwa wamesimamisha Mwanamuziki ambaye kwa kila hali alikuwa akubaliki katika uwanja wa siasa!

Alijitoa huyo bwana Fokas, ni DJ ila najua angetoa upinzani mkali kama asingejitoa
 
2015 nimvae nini? mimi ni mzaliwa wa huko Nkenge nimesomea huko; na ninafahamika vizuri, tatizo baba yangu ni mfuasi wa CCM - sijui niingie kwa ga ipi?

Mzazi hawezi kukuamulia jambo la kufanya. kazi yake sasa ni kushauri tu na unazo sababu tosha za kumpa.
 
Hahaha ITV watatangaza halafu TBC1 watatangaza ITV imepotosha umma
 
Mbunge wa jimbo la nkenge wilayani misenyi,Mhe.Assumpta.M.(CCM) akimbiwa ktk mkutano wa hadhara aliouitisha ktk kata ya ishozi,baada ya kushndwa kutoa majawabu kwa wananchi wa kata hyo hasa alipotakiwa kutoa sababu za kwnn alitaka kupeleka hoja binafsi ya kuwa umeme vijijini lisiwe kipaumbele,aliposhndwa kutoa ufafanuzi huo wananchi waliondoka nakuachwa pekeyake pmoja na msafara wake.YAANI ALITIA HURUMA,kazi ni kwake

Haaaa! Haaaaa! Kibela nyavu zangu zimecheuaaaaaaaaaaa.
 
huyo Focus alitufanyia vibaya sana tulimwamini lkn akatuangusha dakika za mwisho wakati hatuwezi kuchagua mtu mwingine kwa CDM nina hakika 2015 tukijipanga vizuri jimbo tunachukua

Alijitoa huyo bwana Fokas, ni DJ ila najua angetoa upinzani mkali kama asingejitoa
 
nafarijika na napata raha mustarehe moyoni mwangu nnavyosikia wabunge magamba wakiambulia aibu,,huyo mama mpayukaji tu bora ilo jimbo angebaki bw diodorus buberwa kamala

hapo kwenye red sijapapenda, m4c lazima iwashike wahaya tunaweka cdm mkoa mzima
 
inawezekana ni kweli coz 2shawazoea hata kule Geita jn mbunge wa ccm alizomewa na hiyo mgona bado mi nataka wapingwe mawe kabisa kwa kutotekeleza kile wananchi wakitakacho na viongozi hao kutekeleza kile walichokiahidi walipokuwa wakiomba kura
 
Wapare amkeni mnaona wahaya,,,wachaga,wasukuma,waha,wanyakyusa wameru wairaki mbulu, wangon wanakuja, wanyaturu, Lindi, wapare tunani hadi aibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom