Mbunge wa ccm shinyanga kufanya mkutano kesho

Chanya

Senior Member
Mar 2, 2011
133
22
Bongo flevaaa! Iyo wayo mama we iyo wayo.....! Ulikuwa wimbo wa dully ukitumika kutangazia mkutano wa mbunge aliyeshinda kwa kura moja Steven Masele best wa Riz1 huku raia wakiwa wanawapuuza maeneo ya stendi ni kwamba jamaa anafanya mkutano viwanja vya mahakama so jiandaeni kusikia makubwa maana diwani wa kata anaheshimiwa kuliko masele huku raia wakiwa na majonzi ya kifo cha SHELEMBI tunasubiri hiyo kesho ila kaeni attention!
 
Jamaa amehamia dar tangu ashinde na nyumba aliyopanga hapa town inalindwa na polisi daily jioni nimepita kituo kikuu FFU wameandaliwa wa kutosha kwani hali si nzuri kuna mawili atazomewa au atapopolewa maana jamaa hawampendi
 
Nadhani hata huo mku5 wake utakuwa na ulinzi wa kitisha, What kind of MP he is kukaa na ulinzi muda wote anapokuwa jimboni hajisikii vibaya
 
jamni kwenye ukweli tuseme tu mbunge wa nusu ya wapigakura wa shinyanga nafikiri ni mbuge halali kwani pamoja na kushinda kwa kura moja kwa mujibu wa katiba ni mshindi. RIP shilembi.:dance:
 
Huyu jamaa hakushinda kabisa ni mmoja wa mafisadi wa kura,watakao enda kwenye mkutano ni wanachama wa chama cha magamba tu!
 
Back
Top Bottom