Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

PASCO, kumbuka leo sio tarehe 01.04.2012, sio siku ya wajinga, usitufanye wajinga. Andika ulichotaka kuandika au tumia busara omba radhi jukwaa la JF.
 
Nimekuja nakimbilia li sledi nikajua limesheheni kufika tu PASCO!nikavumilia kusoma nikakuta yupo roundabout anazunguka!!nikarudi kwenye username Pasco nikamsamehe!
 
Pasco kumbe wewe mwana, huh. Yaani nimeku-language abuse na still umenipa like, duh,
Nafuta kauli yangu aseee:doh:
 
Last edited by a moderator:
Pasco nilikuwa sijajua kwa nini watu wanakulalamikia hapa JF sasa hivi nimejua..sijui hili bandiko lina maana gani si ungefanya research ndio uje?

Wewe unamsema mwenzako wakati juzi umekuja na habari za unafik kusema mawaziri wamejiuzulu. Leo kweli unaweza kumwambia mwenzako afanye research? wewe ulifanya research juzi au unakiri kuwa ulikurupuka? Nakumbuka nilikuambia uiweke hiyo mada kwenye udaku, ingekusaidia sana ungefata ushauri wangu, badala yake ukasema "confirmed". Kiko wapi?
 
zengwe atakalopgwa Bulaya atajuta kuifahamu ccm. . Hata huo ubunge wa viti maalumu atauckia redioni.
 
Mi nadhani una matatizo ya akili na unahitaji msaada sikutegemea kama unaweza kuja na mada isiyokuwa na kichwa wala miguu eleza wanajamii nini unata wakijue toka kwa unayemtetea si kila mara mnaanzisha kuwapa watu majina makubwa ooo wazalendo ooo wanauchungu na nchi na je hawaoni yanayoendelea nchini au nini?
Anauchungu gani na nchi hii mbona hatukumskia sakata la nyongeza ya posho

Acha umbea tafakari na chukua hatua "MTINDO WA KULINDANA WEZI NA WASIOWEZI NA KILICHOOZA KUWA KIPYA NDIYO WA CHAMA CHAKE NA KILA MWIZI KULINDWA HATA CHAMA KIBOMOKE NDIYO WA CHAMA CHAKE JE WANAJAMII TUSEMESEJE?"
 
Mkuu Pasco nashauri ungepost habari hii baada ya kupata ushahidi saizi inabaki inaelea sana na kuwa haina mashiko kwa msomaji.

Ni hilo tu mkuu, next time uwe makini.

Hebu jiulize ukipata uthibitisho utakuja ku update au utaanzisha uzi mpya?
 
kaPasco bana, eti kamelike response zote!...wakati mwingine huwa nakafananisha na MS vile! ngoja namimi nikalike bana!:A S 41:
 
Hata filikunjombe ndio yule aliesutwa na wabunge wenu bungeni,lakini hii issue ya zitto sio ya chadema,msijaribu kuiteka na kuidandia maana kwa kupenda cheap popularity na yie mmo!

We mama unajua kweli unachokiandika? Ama we nae ndo walewale?
 
Back
Top Bottom