Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kuweka mbele maslahi ya taifa ambapo amesimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachosimamia mule bungeni, ni matumbo yao tuu!.

Natafuta uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.

Kabla ya huo ushujaa, Mhe. Ester Bulaya aliripotiwa hivi humu jf

"Re: Godfrey Zambi na Ester Bulaya bungeni waitabiria CCM yao kuanguka mwaka 2015"

Sababu pekee ya kuleta hii thread ni kuwajulisha tuu kuwa pamoja na ukweli kuwa CCM imeoza kwa rushwa na ufusadi na wanaitafuna nchi hii kama mchwa, tena wanaiba waziwazi mchana kweupe kama shamba la bibi, ndani ya hao hao mijizi na mifisadi ya CCM, kuna vijana wachache wazuri ambao sio mafisadi na wako tayari kusimama kuhesabiwa!.

Wengi wa wabunge wa CCM wameingia bungeni sio ili kuwatumikia wananchi, bali kujineenesha wao na matumbo yao hivyo mule mjengoni wao wako kutetea maslahi yao!, lakini miongoni mwao, wamo wachache walioingia mle kutetea maslahi ya taifa na Mhe. Ester Bulaya yuu mmoja wao!.

Mhe. Ester Bulaya ndie mbunge mwanamke kijana na shujaa wa CCM aliyesaini petition ya Mhe. Zitto kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.

Wabunge kutoka CCM jumla ni 6 wakiongozwa na shujaa Mhe. Deo Filikunjombe. Jee kwa nini Ester ndio anayestahili pongezi mpaka kumuita shujaa!.

Kati ya wote waliosaini, wengine wote ni wabunge wa majimbo isipokuwa Ester yeye ni mbunge wa hisani wa CCM!. Kitendo cha kutoogopa hisani na kusimama kuhesabiwa ni kitendo cha ushujaa wa hali ya juu!.

Wenzake wote waliosaini ni watu wenye shughuli zao nyingine, ubunge kwao ni utumishi tuu kwa wananchi, hivyo kwao lolote liwalo, if anything happens to them in CCM, they have nothing to loose and everthing to gain from CCM, lakini kwa Ester kwake CCM ndio baba CCM ndio mama, if anything happens to Ester huko CCM, she has everthing to loose and nothing to gain from CCM!.

She has the guts to say no nonse!. Kuna wabunge wengi wa CCM akiwemo January ambao tuliwaona kama mashujaa, kitendo cha kutomuunga mkono Zitto ni uthibitisho tuu kuwa they are barking dogs only, seldom bite!. They don't have the guts to say no to nonsense!.

Nawaombeni wanabodi wenzangu, mhesabuni Mhe. Ester Bulaya miongoni mwa mashujaa 76 wa taifa kwenye orodha ya Zitto na jina lake liingizwe kwenye list ya mashujaa ambao mwaka 2015 wata team up na timu ya ushindi kuelekea kwenye ukombozi wa pili wa taifa letu!.

Kwa wale ambao mtatofautiana na mimi kwenye dhana ya ushujaa, naheshimu mitazamo yenu.

Hongera sana Mhe. Ester Bulaya, CCM watakunyanyapaa, CCM watakutenga, Watanzania watasimama na wewe, na Mungu atakutangulia kunyoosha mapito yako!.

Ubarikiwe Sana!.

Pasco.

Kamanda Ester Bulaya (CHADEMA) hongera sana kwa ushindi tukutane dodoma
Mgombea Ubunge Jimbo la Bunda Mjini Ester Bulaya CHADEMA ametangazwa rasmi mshindi wa jimbo hilo na kumuangusha Steven Wasira
Ni rejea tuu!.
Nawaombeni wanabodi wenzangu, mhesabuni Mhe. Ester Bulaya miongoni mwa mashujaa 76 wa taifa kwenye orodha ya Zitto na jina lake liingizwe kwenye list ya mashujaa ambao mwaka 2015 wata team up na timu ya ushindi kuelekea kwenye ukombozi wa pili wa taifa letu!.
Pasco
 
Ushujaa wa huyu dada unaendelea, kwanza kwa kuwa bold kusimama imara kwa kuikataa CCM kwa kujitoa na kujiunga na timu ya ukombozi!, pili sasa anakwenda kung'oa kisiki cha mpingo, au kuangusha ule mti mkubwa wa mbuyu pale Bunda!.

Hongera zake!.
Pasco
Kauli huumba!, yametimia!.

Hongera sana Ester Bulaya!.

Paskali
 
Huyu dada alikuwa ni shujaa wangu, once shujaa, always shujaa.
Pole Sana Ester Bulaya!.

Paskali

Ila najiuliza hasira yote ya Bwana Ndugai ni kweli alichofanya BULAYA au BULAYA mwenyewe ndiyo tatizo?Yawezekana mzee kwnayimwa kitumbua cha bibi pia?Maana ukiangali Binti mrembo kichwa wamo vizuri na Mungu kampatia uzuri wa sura,tabia na fikra
 
Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio kubwa la ushajaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!. Lengo la kuupandisha uzi kabla ya kuutaja ushujaa wenyewe ni kukupa wewe mwana jf ile the jf advantage be the first to know kuwa, Tanzania kumejitokeza shujaa mdogo mwanamke!, ambaye japo ni mdogo na yuko kwenye chama cha majambazi lakini ni shujaa aliyepo in a wrong party!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kutanguliza mbele maslahi makubwa ya taifa dhidi ya maslahi ya chama chake cha CCM, ambapo ni mbunge pekee mwanamke wa CCM alijitoa mhanga na kusimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, ambao wako tayari kuipigania nchi na kulipigania taifa, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachopigania kule bungeni, na wanachosimamia ni matumbo yao tuu na sio maslahi ya taifa!.

Natafuta kwanza uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.

Tuvute subira kidogo!.

Wasalaam.

Paskali

Dodoma!.

Kabla ya huo ushujaa, Mhe. Ester Bulaya aliripotiwa hivi humu jf

[h=2]"Re: Godfrey Zambi na Ester Bulaya bungeni waitabiria CCM yao kuanguka mwaka 2015"[/h]

Update 1. jana usiku:
Hatimaye ninepata uthibitisho wa kitendo hicho cha kishujaa cha Mbunge wa CCM, Mhe. Ester Bulaya!.

Licha ya kupata uthibitisho huo, bado kitendo chenyewe sikitaji kwanza mpaka nitakapo pata go ahead ya relevant authorities!, kwa sababu nimeshikwa sikio kwa kuaminiwa as "off the record" hivyo ni busara na ustaarabu kuomba kibali cha aliyekupa tip kuwa unampango wa kuitoa "on the record".

Sababu pekee ya kuleta hii thread ni kuwajulisha tuu kuwa pamoja na ukweli kuwa CCM imeoza kwa rushwa na ufisadi mwanzo mwisho, na wanaitafuna nchi hii kama mchwa, tena ni walafi wa rasilimali zetu kama mafisi wanaoiba hazina yetu waziwazi mchana kweupe kwa kuivuna kama shamba la bibi, ndani ya hao hao mijizi na mifisadi ya CCM, kuna vijana wachache wazuri ambao sio mafisadi na wako tayari kusimama kuhesabiwa!.

Wengi wa wabunge wa CCM wameingia bungeni sio ili kuwatumikia wananchi, bali kujineenesha wao na matumbo yao hivyo mule mjengoni wao wako kutetea maslahi yao!, lakini miongoni mwao, wamo wachache walioingia mle kutetea maslahi ya taifa na Mhe. Ester Bulaya yuu mmoja wao!.

Nitamalizia hivi punde na kitendo chenyewe cha ushujaa wa mbunge huyu baada ya kupata idhini husika.

Kwa wale wenye mcheche sana, samahani sana endeleeni kuvuta subra!. Good things hazihitaji haraka wala papara!.

Na hii ya kutanguliza kupost ni kukuanda wewe kisaikojia kupokea habari za ushujaa ambao wengi hamtaweza kuijua impact yake, bali mtakuja kuijua miaka mitatu baadaye 2015 hivyo wewe mwana jf unakuwa the first to know.

Mfano news za Nundu zilizotokea leo usiku kwenye TV zote leo na zitakatangazwa kwenye kwenye magazeti yote ya kesho, is not news anymore kwa wana jf kwa sababu sisi jf tumeishajua kila kitu tangu mchana! kupitia hapa
Omari Nundu: Sioni sababu ya kujiuzulu

Asanteni tuhifunze zaidi "managing divesity"

Pasco!.

Update 2: Final Update

Confirmed,

Mhe. Ester Bulaya ndie mbunge mwanamke pekee na kijana shujaa wa CCM aliyesaini ile petition ya Mhe. Zitto kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!.

Wabunge kutoka CCM jumla ni 6 wakiongozwa na shujaa Mhe. Deo Filikunjombe, Nimrod Mkono, na wengine. Swali ni kwa nini Ester ndio anayestahili pongezi mpaka kumuita shujaa?.

Kati ya wabunge wote waliosaini petition ile kwa upande wa CCM, wengine wote ni wabunge wa majimbo isipokuwa Ester Bulaya, yeye ni mbunge wa kuteuliwa, ni kama mbunge wa hisani wa CCM!. Kitendo cha kutoogopa hisani na kusimama kuhesabiwa ni kitendo cha ushujaa wa hali ya juu sana!.

Wabunge wenzake wote waliosaini ni watu wenye shughuli zao nyingine, ubunge kwao ni utumishi tuu kwa wananchi as a part time job, hivyo kwao lolote liwalo, if anything happens to them in CCM, they have nothing to loose and everthing to gain kwa sababu ni wabunge wa majimbo, CCM ikiwapiga chini bado watayatwaa majimbo yao kupitia chama chochote, na hata wakiukosa ubunge, wataendelea kuishi kwa shughuli zao nyingine, lakini kwa Ester Bulaya, kwake CCM ndio baba CCM ndio mama, Ubunge ndio the only full time job yake, if anything happens to Ester huko CCM, she has everthing to loose and nothing to gain from CCM!.

Hii maana yake ameisha jiandaa kwa 2015 anajua kabisa CCM haiwezi kumpitisha tena!. Ukijumlisha ukaribu wake na Halima Mdee (house mates), then it's obvious 2015 shujaa huyu atakwenda upande wa pili!.

She has the guts to say no to nonsense!. Kuna wabunge wengi wa CCM akiwemo January ambao tuliwaona kama mashujaa, kitendo cha kutomuunga mkono Zitto ni uthibitisho tuu kuwa they are barking dogs only, seldom bite!. They don't have the guts to say no to nonsense!.

Nawaombeni wanabodi wenzangu, mhesabuni Mhe. Ester Bulaya miongoni mwa mashujaa 76 wa taifa kwenye orodha ya Zitto na jina lake liingizwe kwenye list ya mashujaa ambao mwaka 2015 wata team up na timu ya ushindi kuelekea kwenye ule ukombozi wa pili na wa kweli wa taifa letu!.

Kwa wale ambao mtatofautiana na mimi kwenye dhana ya ushujaa, naheshimu mitazamo yenu.

Hongera sana Mhe. Ester Bulaya, CCM watakunyanyasa na kukunyanyapaa, CCM watakutenga, ila kiukweli huko CCM uliko is a wrong party, lakini kwa kusimama kwenye kweli katika hili, naamini 2015 pia utasimama kwenye vyama vya ukweli na sio hao mchwa wanaolitafuna taifa letu na Mungu atasimama na wewe na Watanzania watasimama na wewe, kokote utakakoamua kwenda, Mungu atakutangulia kunyoosha mapito yako, na amini usiamini utashinda na CCM itaaibika.

Ubarikiwe Sana!, wewe ni shujaa wa kweli, mimi nakuita ni shujaa mdogo mwanamke, una very bright future kwenye politics za bongo kwa sababu you have the powers!.

Paskali
Hapa Pascal ulikuwa bado mtu! Leo kaja homeboy huoni wala husikii lolote!
 
Aliyafanya hayo enzi za democracy,Leo hii hakuna mbunge wa kufanya hayo awe wa viti maalum au kuchaguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii maana yake ameisha jiandaa kwa 2015 anajua kabisa CCM haiwezi kumpitisha tena!. Ukijumlisha ukaribu wake na Halima Mdee (house mates), then it's obvious 2015 shujaa huyu atakwenda upande wa pili!.
Kwa hiyo Paschal Mayalla unathibitisha kwa Halima na Bulaya wanaishi kinyumba?
 
Eti Nini?"chama Cha majambazi"

When "Mayalla" was Pasco

Hii thread inanifanya nikumbuke kuwa wakati Ni ukuta

Na kwamba maslahi binafsi ndio kila kitu kwa mtu

Ngoja nikafukue sredi zingine

Wanabodi, jana Bungeni Dodoma, ulikuwa mwanzo wa Mbunge shujaa huyu Mwanamke wa shoka, kuanza safari ya kurejea nyumbani CCM, alikuja pekee yake, lakini akirejea, atarejea na makamanda wengine 19, ambao ni wanawake wa shoka, pamoja na kile chuma cha pua, sauti ya zege!.

Kiukweli I admire sana hiki kitu!..
P
 
blaza nakuunga mkono.ile ni mashine na nusu.Natoa pongezi kwa waheshimiwa kinamama waliopa wakiongozwa na mh Mdee.wakapige kazi kwa maendeleo ya Taifa.
hatimae chadema tumepata ushind mnono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,
Hongera sana Mhe. Ester Bulaya, CCM watakunyanyasa na kukunyanyapaa, CCM watakutenga, ila kiukweli huko CCM uliko is a wrong party, lakini kwa kusimama kwenye kweli katika hili, naamini 2015 pia utasimama kwenye vyama vya ukweli na sio hao mchwa wanaolitafuna taifa letu na Mungu atasimama na wewe na Watanzania watasimama na wewe, kokote utakakoamua kwenda, Mungu atakutangulia kunyoosha mapito yako, na amini usiamini utashinda na CCM itaaibika.

Ubarikiwe Sana!, wewe ni shujaa wa kweli, mimi nakuita ni shujaa mdogo mwanamke, una very bright future kwenye politics za bongo kwa sababu you have the powers!.

Paskali
Angalieni jinsi politics ilivyo a dirty game.
this lady is a rare political asset now turned a liability!. Nimeumia sana kwa sababu wameonewa, hawakujiteua
Heshima sana wanajamvi,

Nimefuatilia sakata la Covid 19 kwa mapana na marefu yake,yapo mambo mengi yamezungumzwa na wanasiasa mbali mbali kuanzia Mzee Msekwa,Ndugai,Mbowe........

Naomba kuangazia jambo moja muhimu ambalo sijui kwanini wachangiaji wengi hawalioni au wanafanya makusudi kupotezea.Naomba kumrejea Mh Mwenyekiti Mbowe "Nilipokuwa Magereza nilimwita Halima Mdee akaja kaongozana na Ester Bulaya".Aliyeitwa ni Mdee pekee yake sijui kwanini Mwenyekiti hakuwaita na wenzake 18.Aliyefika Gerezani ni Halima Mdee na Ester Bulaya ?Yaani kaitwa mtu mmoja mwingine kajipachika kaja kwa nguvu bila mualiko,kajipeleka mwenyewe !.Nilipokuwa Nairobi nilimwita Halima Mdee mara chaap Ester Bulaya naye kajialika hakuna namna ukimwita Mdee na Mimi nimo utake usitake nitakuwepo tu.

Mwenyekiti "Nilikwenda kwa Wazazi wa Halima Mdee" si wazazi wa Ester Bulaya,labda Halima Mdee alipoitwa na wazazi wake Ester Bulaya alikuwepo pia hakuna namna ya kuwatengenisha Halima na Ester.

Inavyoonekana Ester Bulaya alikuwa na ushawishi mkubwa sana kiasi kila alipoitwa Mdee ilikuwa lazima wawe pamoja.Naamini msimamo wa Halima Mdee umeathiriwa sana na ukaribu wake na Ester Bulaya.Sijaona mahali Halima kaitwa halafu akaambatana na Matiko au Covid 19 mwingine bila shaka kuanguka kisiasa Halima Mdee Ester Bualaya atakuwa kachangia pakubwa.

Ngongo kwasasa mpakani Mtukula nashughulikia vibali vya sukari.
Kuna kitu kumhusu Esta Bulaya, ndie the strength behind Halima Mdee, bila Bulaya, Mdee ni hakuna kitu!. The strength behind Estar Bulaya ni inborn. Na Chadema wasije kudai credits kuwa wamemjenga, kiukweli Esta Bulaya amemjenga Mdee na kuijenga Chadema.
Angalia tarehe ya bandiko hili uone Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma! alianza lini ushujaa na akianzia wapi!
P
 
Wanabodi,

Katika pita pita yangu viunga fulani hapa mjini Dodoma, nimepita mahali nikukata baadhi ya watu na heshima zao, wakimsifu huyu mbunge kijana wa CCM, Mhe, Esta Bulaya, kuwa amefanya tukio kubwa la ushujaa mkubwa katika medani za siasa.

Kwa jinsi nilivyosikia kuhusu alichokifanya mbunge huyu, naomba nikiache kwanza kama tetesi, na nikisha thibitisha, nitarejea kuwapatia ushujaa huo wa Mhe. Esta Bulaya!. Lengo la kuupandisha uzi kabla ya kuutaja ushujaa wenyewe ni kukupa wewe mwana jf ile the jf advantage be the first to know kuwa, Tanzania kumejitokeza shujaa mdogo mwanamke!, ambaye japo ni mdogo na yuko kwenye chama cha majambazi lakini ni shujaa aliyepo in a wrong party!.

Kwa kusaidia tuu, ni kuwa mbunge huyu, amefanya kitendo fulani cha kishujaa kwa kutanguliza mbele maslahi makubwa ya taifa dhidi ya maslahi ya chama chake cha CCM, ambapo ni mbunge pekee mwanamke wa CCM alijitoa mhanga na kusimama kuhesabiwa miongini mwa wabunge wachache wa CCM wenye uchungu wa ukweli na umasikini wa nchi hii, ambao wako tayari kuipigania nchi na kulipigania taifa, kinyume cha wengi wa wabunge wa CCM ambao wameingia bungeni kwa drive ya njaa zao kutafuta maslahi binafsi badala ya maslahi ya taifa, hivyo wanachopigania kule bungeni, na wanachosimamia ni matumbo yao tuu na sio maslahi ya taifa!.

Natafuta kwanza uthibitisho wa huo ushujaa wa Mhe. Esta Bulaya, ili tuliingize rasmi jina lake miongoni mwa mashujaa wa taifa hili!.

Tuvute subira kidogo!.

Wasalaam.

Paskali

Dodoma!.

Kabla ya huo ushujaa, Mhe. Ester Bulaya aliripotiwa hivi humu jf

[h=2]"Re: Godfrey Zambi na Ester Bulaya bungeni waitabiria CCM yao kuanguka mwaka 2015"[/h]

Update 1. jana usiku:
Hatimaye ninepata uthibitisho wa kitendo hicho cha kishujaa cha Mbunge wa CCM, Mhe. Ester Bulaya!.

Licha ya kupata uthibitisho huo, bado kitendo chenyewe sikitaji kwanza mpaka nitakapo pata go ahead ya relevant authorities!, kwa sababu nimeshikwa sikio kwa kuaminiwa as "off the record" hivyo ni busara na ustaarabu kuomba kibali cha aliyekupa tip kuwa unampango wa kuitoa "on the record".

Sababu pekee ya kuleta hii thread ni kuwajulisha tuu kuwa pamoja na ukweli kuwa CCM imeoza kwa rushwa na ufisadi mwanzo mwisho, na wanaitafuna nchi hii kama mchwa, tena ni walafi wa rasilimali zetu kama mafisi wanaoiba hazina yetu waziwazi mchana kweupe kwa kuivuna kama shamba la bibi, ndani ya hao hao mijizi na mifisadi ya CCM, kuna vijana wachache wazuri ambao sio mafisadi na wako tayari kusimama kuhesabiwa!.

Wengi wa wabunge wa CCM wameingia bungeni sio ili kuwatumikia wananchi, bali kujineenesha wao na matumbo yao hivyo mule mjengoni wao wako kutetea maslahi yao!, lakini miongoni mwao, wamo wachache walioingia mle kutetea maslahi ya taifa na Mhe. Ester Bulaya yuu mmoja wao!.

Nitamalizia hivi punde na kitendo chenyewe cha ushujaa wa mbunge huyu baada ya kupata idhini husika.

Kwa wale wenye mcheche sana, samahani sana endeleeni kuvuta subra!. Good things hazihitaji haraka wala papara!.

Na hii ya kutanguliza kupost ni kukuanda wewe kisaikojia kupokea habari za ushujaa ambao wengi hamtaweza kuijua impact yake, bali mtakuja kuijua miaka mitatu baadaye 2015 hivyo wewe mwana jf unakuwa the first to know.

Mfano news za Nundu zilizotokea leo usiku kwenye TV zote leo na zitakatangazwa kwenye kwenye magazeti yote ya kesho, is not news anymore kwa wana jf kwa sababu sisi jf tumeishajua kila kitu tangu mchana! kupitia hapa
Omari Nundu: Sioni sababu ya kujiuzulu

Asanteni tuhifunze zaidi "managing divesity"

Pasco!.

Update 2: Final Update

Confirmed,

Mhe. Ester Bulaya ndie mbunge mwanamke pekee na kijana shujaa wa CCM aliyesaini ile petition ya Mhe. Zitto kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu!.

Wabunge kutoka CCM jumla ni 6 wakiongozwa na shujaa Mhe. Deo Filikunjombe, Nimrod Mkono, na wengine. Swali ni kwa nini Ester ndio anayestahili pongezi mpaka kumuita shujaa?.

Kati ya wabunge wote waliosaini petition ile kwa upande wa CCM, wengine wote ni wabunge wa majimbo isipokuwa Ester Bulaya, yeye ni mbunge wa kuteuliwa, ni kama mbunge wa hisani wa CCM!. Kitendo cha kutoogopa hisani na kusimama kuhesabiwa ni kitendo cha ushujaa wa hali ya juu sana!.

Wabunge wenzake wote waliosaini ni watu wenye shughuli zao nyingine, ubunge kwao ni utumishi tuu kwa wananchi as a part time job, hivyo kwao lolote liwalo, if anything happens to them in CCM, they have nothing to loose and everthing to gain kwa sababu ni wabunge wa majimbo, CCM ikiwapiga chini bado watayatwaa majimbo yao kupitia chama chochote, na hata wakiukosa ubunge, wataendelea kuishi kwa shughuli zao nyingine, lakini kwa Ester Bulaya, kwake CCM ndio baba CCM ndio mama, Ubunge ndio the only full time job yake, if anything happens to Ester huko CCM, she has everthing to loose and nothing to gain from CCM!.

Hii maana yake ameisha jiandaa kwa 2015 anajua kabisa CCM haiwezi kumpitisha tena!. Ukijumlisha ukaribu wake na Halima Mdee (house mates), then it's obvious 2015 shujaa huyu atakwenda upande wa pili!.

She has the guts to say no to nonsense!. Kuna wabunge wengi wa CCM akiwemo January ambao tuliwaona kama mashujaa, kitendo cha kutomuunga mkono Zitto ni uthibitisho tuu kuwa they are barking dogs only, seldom bite!. They don't have the guts to say no to nonsense!.

Nawaombeni wanabodi wenzangu, mhesabuni Mhe. Ester Bulaya miongoni mwa mashujaa 76 wa taifa kwenye orodha ya Zitto na jina lake liingizwe kwenye list ya mashujaa ambao mwaka 2015 wata team up na timu ya ushindi kuelekea kwenye ule ukombozi wa pili na wa kweli wa taifa letu!.

Kwa wale ambao mtatofautiana na mimi kwenye dhana ya ushujaa, naheshimu mitazamo yenu.

Hongera sana Mhe. Ester Bulaya, CCM watakunyanyasa na kukunyanyapaa, CCM watakutenga, ila kiukweli huko CCM uliko is a wrong party, lakini kwa kusimama kwenye kweli katika hili, naamini 2015 pia utasimama kwenye vyama vya ukweli na sio hao mchwa wanaolitafuna taifa letu na Mungu atasimama na wewe na Watanzania watasimama na wewe, kokote utakakoamua kwenda, Mungu atakutangulia kunyoosha mapito yako, na amini usiamini utashinda na CCM itaaibika.

Ubarikiwe Sana!, wewe ni shujaa wa kweli, mimi nakuita ni shujaa mdogo mwanamke, una very bright future kwenye politics za bongo kwa sababu you have the powers!.

Paskali
Wewe nawe ni msakatonge, haufai kuwa kiongozi.

Uliona ccm ni majambazi, baadae ukaungana na majambazi kwa sababu ama hao majambazi walikutishia au ulijiunga nao pasi kupenda ili ufaidike na ujambazi, shame on u braza
 
Naskia bwana poyoyo pascal njaa anaejiona yeye ni bora kuliko chadema nzima wajumbe wa kile chama chakavu walimla kichwa akalamba kura mbili za mama mkwe wake na binamu yake upande wa shangazi leo hii na domo lake chafu anakuja kuwakashfu chadema yeye binafsi ameifanyia nini nchi hii kama anajukuta anamawazo bora Mbona alishindwa kwa kura za maoni kwa maana hio wajumbe waliona hana hoja zaidi ya udaku na upumbavu wa kifikra wakaamua wamtupe aendelee na umbeya wake fikiria mpumbavu kama huyu yupo bungeni ataongea hoja ipi au atachangia nini ili nchi ipande mawazo ya kujenga huenda kwa upumbavu wake 98% angekua anaiongelea chadema.
 
CDM mliwatumia watoto wa watu kina mdee kuitukana serekali ya ccm kwa kipind lirefu Leo mnakuja kuwataka kuwafukuza Kam mbwa hpn huo ndio uhun
Mdee kanyaga twende
 
Back
Top Bottom