Mbunge wa CCM kisesa kama Mnyika vile

Lukuvi hasimama kuomba mwongozo wa spika?

Lukuvi huwa anasimama kuomba muongozo wa spika kwa wabunge wa CHADEMA tu,juzi j3 Mwigulu na Komba wametukana lakini hakuomba muongozo jana pia Lusinde kaongea utumbo eti naibu spika anamuambia sijasikia naomba urudie.
 
michango ya bajeti ya Mwigulu Nchemba, John Komba, Lusinde, Madabida, Mabumba, Josephine Genzabunke na Henry Shekifu inatia kinyaa!
 
watamtimua uanachama..anataka kupingana na fikra za mwenyekiti??
au anataka kuungana na wanaosema mwenyekiti ni dhaifu??
CHEZEA MAGAMBA WEWE.........
 
Yaaa the guy z smart, nimemuona. Mh. Luhaga joelson mpina.

Penye ukweli uongo utajitenga, Kudos mh. Luhaga joel Mpina, waache wanafiki wengine wanaouona ukweli na kuamua kuasi dhamira zao kama Nchemba, watajuta siku si nyingi zijazo.
 
hahaaa ....huyu mbunge bana kanifurahisha sana nilijua naye ni dhaifu sana
 
Katiba mpya itusaidie kuondoa wabunge wa viti maalumu ili tuwe na wwwakilishi wachache wanaotumia vichwa vyao angalau kufikiri hata kama hawatendi sawa na utashi wao. Ingelikuwa wabunge wote wanatokana na kupigiwa kura, bajeti hii isingepita, ila kwa kuwa kuna wabunge wasiowajibika kwa wananchi lazima ipite tu!
 
Hayo ndiyo mambo ,tunataka kujenga taifa la wasio waoga na wenye kujipendekeza kama Lusinde na Chemba. Na hii ndiyo njia sahihi zaidi ya kuleta uwajibikaji mahala popote katika nchi. Kama kiongozi ni dhaifu basi ataki kuwa dhaifu hata kama kuna lugha mbadala wa kulisemea hili. Go Mnyika go.......
 
Sa nyingine roho inakusuta man. Hata kama ndio sehemu ya kula bora ufe na njaa kuliko kufanya ukatili kama wanaoufanya hawa watu. Inabidi uwe na roho ya maiti kuitetea CCM aisee.
 
ngoja siku ya kupitisha bajeti, utasikia anaunga mkono...huwezi kusukuma gari ukiwa ndani yake
 
Back
Top Bottom