Mbunge wa CCM HAKUPOKEA RUSHWA...

Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

Call it whatever you like!! But a cat, will remain to be a cat, however you call it! Sooth your self!!..
 
bora ubadili title isomeke anatuhumiwa kupokea rushwa sio kusema hakupokea rushwa
mtu hapelekwi mahakamani kama sio mtuhumiwa acha kupotosha dhana nzima
 
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

Ndugu mbona hueleweki? kama wewe unataka mahakama itoe haki- sasa mbona hapo kwenye red ni kama vile unakuwa wakili wa mtuhumiwa halafu hapo hapo unakuwa hakimu! wewe una uthibitisho gani kuwa badwel hakupokea rushwa? mashtaka yake ni hapo kwenye blue na ndivyo ilivyo mpaka hapo mahakama itakapothibitisha vinginevyo!
TAKUKURU wamesema wana ushahidi,wewe unajuaje labda yule mama mkurugenzi aliripoti takukuru na wakapanga mtego wa kumkamata tena pengine alisakiziwa ''pesa za moto'' za takukuru-ni maoni yangu tu!
 
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

Bahati mbaya alipokea' pesa' angepokea " Vijisenti leo hii angekuwa hero na angepewa kamati nzito moja wapo ya bunge kuiongoza. " wahindi walikuwa na msemo kwamba 'ONEA BUJI OGOPA GOMBE"
kama kweli tunapenda haki itendeke tusiwe na matabaka ya nani ashughulikiwe na nani issue yake izimwe.
Nakubaliana na mwandishi wa kitabu cha Wazuri hawajazaliwa The beautiful ones are not yet born.
 
Pole sana Mkuu, Vuta nkuvute. Nafahamu wewe ni mwanasiasa, hii inatokana na hako ka mchezo ka kupamba lugha, na kupenda kutumia lugha za faraja, hata kama kosa liko wazi. hii ni sawa kwetu vijana wa zamani, ila si wa sasa. nadhani mzee, tukubali kupitwa na wakati. kwa sasa vijana hawana subira, mwizi kakamatwa, anaitwa mwizi hata kabla ya hukumu. huu ndio wakati, tukubaliane na wakati, Mheshimiwa kala rushwa.
Zaidi, napenda kuwapa pole wenzetu wa Mkuranga, wamelikoroga sasa watalinywa. bajeti yao mwaka huu, sasa wakakoma. na huyo mheshimiwa mkurugenzi, aombe Mungu, ahame hiyo post, la sivyo, !!!!!!!!!!
 
Alipokea takrima au posho!!!!
CCM wanaiita majina mengi, Takrima kama anatoa makamba
na Posho kama inatolewa kwa ruhusa ya Supika. bwa hahahahahahaha
 
sasa kama wewe unaheshimu mahakama na unajua kesi haijaanza unasemaje kuwa hajapokea rushwa? una tofauti gani na wanaosema kapokea? na ujue kumhisi mtu kafanya kosa kisheria sio kosa, acha kuhangaika mahakama itatoa hukumu tena uzuri mwendesha mashataka amesema kuwa upelelezi umekamilika kwa hiyo kesi inaanza mara moja! kiustaarabu na kiuwajibikaji alipaswa kujiuzulu ubunge na ujumbe wa kamati ya kudumu ya serikali za mitaa!!!
 
kwani hapa ndio Takukuru au jf ndio iliomshitaki.?na aliekwambia amekula rushwa nani.? Unasema tusiingilie mahakama wakati wewe umeshahukumu kwa kusema hakupokea rushwa. je ikidhitika alitenda kosa utaficha wapi uso wako huo.!jipange upya.
 
Ushahidi umekamilika, tar 17 mwezi wa 6 shuhuli inaendelea.
Hapo ndo tutajua kuwa muendesha mashtaka wa takukuru ni kichaa au la.
 
Wewe umetumwa bila shaka kuja hapa kumsafisha mtu.....! Hv na ww umepata ngapi kwa kazi hii?????
 
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

Maneno mengine mngekuwa mnakaa kimya kuliko kuleta upumbavu jamvini kumbuka ufundi wa sheria ni kitu kingine na ukweli ni jambo jingine huko mahakamani wako malaika au manabii?.
 
ivi vuta nkuvute unataka kuvutana na nan hapa?unasema hakupokea rushwa,basi alichukua si kupokea tu!alaf kwan ww ni mahakama mpaka uweke heading kama hii?ccm kweli hakuna aliyemsafi!
 
Back
Top Bottom