Mbunge wa CCM HAKUPOKEA RUSHWA...

Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

Kwa sura yake tu huyo ni mpokea rushwa # 1, Tukijumlisha na maneno ya mbunge mwenzao alivyolalamikia tabia yao mbovu kule Bungeni na hakusikilizwa basi tuna haki ya kumwita Kibaka badala ya mheshimiwa, au basi tumpe angalau heshima kidogo kwa kumwita ...Mheshimiwa Rushwa wa Bahi,

Serikalini mtumishi akikamatwa na rushwa BASI HUSIMAMISHWA KAZI mpaka hapo kesi itakapoisha, je kwa Mbunge inakuwa vipi au tuseme mbunge anapokuwa na kesi ya jinai kama hii

Kwa ujumla sitoshangaa sana kwani hata JK alishawahi kupiga kampeni ya nguvu kwa akina mramba bila kujali kuwa wana kesi ya jinai Kisutu
 
Kwa heshima ya nchi na familia yake aachie madaraka yote aliyokuwa nayohadi ajisafishe vinginevyo ni aibu. Hata akipigiwa kifua ameingia uchafu tayari. Cdm jimbo hilo.
 
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

Itakuwa vyema ukaisoma sheria ya kuzuia rushwa ya 2007 hasa kifungu cha 15. Issue hapa ni kwamba mbunge amedai na kupokea rushwa. Takukuru walipokea taarifa ya kudai rushwa wakaweka mtego alipokabidhiwa hiyo millioni 1 akaipokea na ndipo akakamatwa. Thus anashitakiwa kudai na kuipokea hiyo rushwa ya milioni moja. Aliipokea hiyo rushwa kabla ya kukamatwa. Takukuru husubiri uipokee ndipo wakutie mbaroni wapate evidence kuwa uliipokea. Mahakama sasa itakachofanya ni kusikiliza utetezi wake ama alitegeshewa au alikuwa anamdai huyo aliyempa ama hiyo milioni moja haikukamatwa naye. Hapa sasa ni kuishawishi mahakama kupitia wakili wake na yeye mwenyewe kwamba hela anayodaiwa kuipokea haikuwa rushwa. Hii itategemea na waendesha mashitaka pia wamewekaje ushahidi wao kama walimkuta anazo hela za mtego au la!
 
Katika maswala kisheria Badwel hana hatia mpaka mahakama itakavyo amua vinginevyo, lakini ukweli unabaki pale pale jamaa amevuta mkwanja ndio maana amekamatwa alikutwa na kidhibiti.........hapo ni moja jumlisha moja...... Swali ni je?? ni kweli ilikuwa ni rushwa au jamaa alikuwa amemkopesha kwa mali kauli ndio alikuwa anamlipa?? Swali ni je jamaa ni kweli alikuwa anataka kununua shamba mkuranga na huyo mtoaji akashindwa kukamilisha biashara na akawa anarudisha fedha zake ?? hapo yote yanawezekana..........Ushindi wa kesi ni jinsi gani umepanga ushahidi ........
 
Naunga mkono yako kuwa hakupokea rushwa kwa sababu hiyo rushwa haikuchukuwa na kuiweka mfukoni mwake na kuitumia kwa maana kwamba Maafisa wa TAKUKURU walimkamata akiwa katika harakati za kupokea na hivyo wakaichukua kama ushahidi. Kwa hiyo maneno mazuri ni .....Mbunge wa Bahi alishawishi, kuomba na kujaribu kupokea rushwa.
 
Hapa unatudanganya kwanza mahakama huwa haithibitishi tuhuma zinazo mkabili mtuhumiwa anae thibitisha tuhuma ni mlalamikaji ambapo kwa kesi hii ni pccb.kazi ya mahakama ni kumtia hatiani au kumwachia mtuhumiwa kutokana na ushahidi utakao tolewa na mlalamikaji.ileweke kwamba kesi ina ngazi kama 2.kiupelelezi na kimahakama. Nikianza na kiupelelezi ambayo ni hatua ya kwanza mtuhumiwa aliomba rushwa kati ya fedha alizo omba alipewa tsh 1000000/=na pccb akazipokea na ndio maana walimkamata.kiupelelezi imethibitika kuwa mbunge wa ccm amepokea rushwa na ndio maana wakampeleka mh kwani kama haingethibitika hivyo kesi ingefutwa kabla ya kupelekwa mh kwa hatua ya kiupelelezi kumtaja kuwa kapokea rushwa siyo dharau kwani imethibitika hivyo.ngazi ya 2 ni ya kimahakama ambapo ili mtuhumiwa atiwe hatiani itategemea ushahidi wa mlalamikaji. Kwa mazingira haya huwezi kumsafisha mb wa ccm kuwa hakupokea rushwa labuda kama una lako jambo. Hongereni magamba kwa kudumisha takrima.
 
Kwaiyo mla rushwa akishinda mahakamani kwa njia za kijanja anakuwa sio mla rushwa sio?? Sooo stupid...hasa ukiangalia mahakama zetu zilivyo wenye hela ni ngumu kuwashinda mahakamani!
 
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

Uvivu wa kufikiri huo! unataka kutwambia DED wa mkuranga na maofisa wa Takukuru wanaimba nyimbo za someni kwa furaha? yule kapokea mlungula period kama sio basi ni yeye na wala sio sisi; akaishawishi mahakama kwamba hakupokea mlungula vinginevyo he has to make time in a can. poor you!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu naona unajaribu kuingilia kazi za PCCB, mahakama pamoja na taarifa zilizowekwa kwenye vyombo vya habari. Kama PCCB wamemkamata kala rushwa na hao PCCB wanakula kodi zetu kila mwisho wa mwezi, lazima tuwape heshima yao kwa hili.
 
Kumbe ukishtuka usiku wezi na unawafahamu wamevunja nyumba yako hupaswi kulalama bali lililopo ni kukimbilia mahakamani na kuiomba ithibitishe wakishindwa kuthibitisha hao wanakuwa si wezi.. Kaazi kwelikweli
 
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...
And hopefully, hukumu yenyewe itakuja baada ya 2015. Bongo tambarare.
 
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

Kwani pesa aliyokamatwa nayo si zile za TAKUKURU zenye alama? Ushaidi gani unahitajika zaidi? Hata kule kuhisiwa tuu anapokea rushwa tayari ni kosa mbele ya umma uliompa dhamana ya kuwawakilisha bungeni. Hivi angekuwa ni Mbunge wa Bunge la Uingereza bado angeendelea kujiita Mbunge?
 
ah mbona watu wanasema lowassa mla rushwa?? kwani ameshapelekwa mahakamani akatiwa hatiani?? wewe kama huyu ni ndugu yako sema au tubadilishe maneno tuseme anatuhumiwa kupokea rushwa but viongozi wote tunaosema ni mafisadi ushahidi uko wapi??
 
2me every problem to Badu is an opportunity to us.Cha msingi tukaweke bendera bila tabu jimbo hiloo
 
Mbunge wa Bahi(CCM) Omar Badwel hakupokea rushwa. Kusema Mbunge Badwel amepokea rushwa ni dharau kwa mahakama.
Dharau hii haivumiliki. Mahakama zetu,hivi sasa,zimeazimia kutenda haki.

Mbunge Badwel amefikishwa Mahakamani jana na kusomewa mashtaka ya kuomba na kupoke rushwa. Amekuwa akizungumzwa kana kwamba ameshathibitishwa kuwa amepokea rushwa.Hii si haki jamani.

Kimsingi, baada ya mwenendo mzima wa kesi, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ndiyo itakayosema kuwa Mbunge Badwel amepokea rushwa au la.Mbunge Badwel anaendelea kuwa Mshtakiwa hadi siku ya hukumu. Mahakama ziheshimiwe kwa utendaji wa haki...

Sasa huoni nawewe kuandika kwa hasira huku povu likikutoka eti ‘hajapokea rushwa‘ bado ni kuingilia uhuru wa mahakama?
Mahakama ndio inapaswa iseme kuwa hajapokea rushwa sio wewe!!
Kwa hiyo ulipaswa kusema ‘mbunge anatuhumiwa kupokea rushwa‘ sio ‘mbunge hajapokea rushwa!!‘
 
naona utafutejina la kitu alichopokea toka mitegoni TAKUKURU alafu utuletee kiswahili chake, waswahili bwana!! utakuta keshp jina jipya,eti kapokea Jiti Ten
 
iwe mlungula,rushwa,takrima haya ni maneno ya kuficha ukweli huyu ni mwizi tusibadili maana harisi
 
Back
Top Bottom