Mbunge wa CCM azomewa Igunga

Nimeipenda hii, hupaswi kukata tamaa, mapambano ni hadi haki ikipatikane.
 
dalali kamfumu mzee wa poshooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ilikuwa aibu tupu kwa kweli kweli,sisi wakazi wa Igunga huyu bwana hakuwa chagua letu letu kabisa,chaguo letu alikuwa Kashindye wa Chadema.
 
SOURCE: TanzaniaDaima jan18,2012

Unanchekesha!

Najua ulikuwa mstari wa mbele sana kukosoa kila kitu alichosema marehemu RM but sikujua kama unamchukia kiasi cha kusindwa hata kutoa comment moja ya pole lol. Nimemkubali sana malaria sugu kwa utu alouonyesha.

Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu sana kila thread iliyohusu msiba wa RM but sikukuona kabisa hata kutoa pole.
 
Nafsi yake inamsuta sana na ukizingatia wingi wa watanzania walioguswa na msiba wa Regia hata viongozi wake wakuu wa chama na serikali wameguswa na kuhudhuria mazishi lakini yeye kaamua kukaa kimya. Mtu mwenye roho ya kishetani tu ndiye hawezi kusikitika kwa kifo cha mwananchi mwenzake, tena aliyekuwa anapigania maslahi ya watu wote.
 
Najua ulikuwa mstari wa mbele sana kukosoa kila kitu alichosema marehemu RM but sikujua kama unamchukia kiasi cha kusindwa hata kutoa comment moja ya pole lol. Nimemkubali sana malaria sugu kwa utu alouonyesha.

Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu sana kila thread iliyohusu msiba wa RM but sikukuona kabisa hata kutoa pole.

Ni nafuu uishi na Simba kuliko huyo shetani anaye jiita FF.
 
Safi sana kafumu kuzomewa maana ushind wake ni wa kimagumashi.asubir 2015 kufumuliwa.
Hii inaashiria kuwa watz wameanza kuamka na hawahtaj kutengenezewa viongoz bal wao wana uhuru wa kuchagua wawakilish wa kidemocrasia. good newz,thanx guy!
 
Gazei la wanaharakati na si wanasiasa. Mmiliki wa hili gazeti ni Mbowe unategemea nn ?

Haya haya haya..........basi...........Dada FF na wewe Genius Brain.....tufanye hivi Mbunge wa Igunga alishangiliwa saaaaaaaaaana na watu kibao Igunga hadi magari yakakosa njiaa...... hakuzomewa......ilikuwa shangwe Igunga baaada ya kumuona kafumu......msiponigongea thanks hapa basi nitatafuta jina la ugonjwa mnaoumwa.
 
Huyu FF yuko strategic zaidi. Kaja kuivuruga thread watu tuamishe attention tuzungumzie comment yake. Sasa tuendelee na kuzomewa kwa kafumu.......hilo ni kweli habari tulizipata.....anayebisha amwambie akanushe.....pia amshitaki mwandishi kwa kumzomea.
 
Mara nyingi sijatumia neno Masaburi kwenye coments zangu chache kila nichangiapo. Lkn kuchekeshwa na habari kama hiii nadhani habari hiyo uliisoma kwa kutumia macho na tafasiri ilifanyika kwenye MASABURI. Sasa unaleta mjadala mwingine kabsaa badala ya kujadili zomeazomea ya wabunge wetu tuadili gazeti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom