Mbunge wa CCM aomba arudishiwe madawati aliyotoa shuleni

Du,huyo mbunge anachekesha kweli.kwani aliwapa madawati hayo kwa mkataba?au ndo homa ya kushindwa imepanda kichwani?
 
Watu wengine bwana wanapenda kutafuta umaarufu kwa kila njia, mwangalie huyu mwingine gamba limemganda mpaka halitaki kutoka sasa anaganda nalo

LOL! Nimecheka angalau!

yaani ili gamba la kichina!
 
Magamba mengine mpaka aibu, kwani pesa zote za jimbo alizifanyia nini? Hivi kulikuwa na makubaliano kati yake na wananchi kuwa anunue madawati ili wampe kura? Hii ndo hasara ya kuwa na wanasiasa wafanyabiashara kila anachotoa anataka faida!
 
kama ni kweli sijui pccb wa musoma wanasubiri nini kumuhoji na kumkamata. maana kwa tasfiri hiyo alitoa madawati kama rushwa.
 
Kwani huyu anatofauti gani na Masha aliyeamua kutoa pazia kwenye ofisi za mbunge za Nyamagana,, ha ha ha subili utawaona wapo wengi mno watafanya hivyo 2015...

HAO NDO WAZEE WA MAGAMBA , YAMEWANG'ANG'ANIA HATA HAYATOKI
JAMANI CDM HIYOOO HAPO NA KING'OLA INAOMBA NJIA YA KWENDA IKULU....:dance::mod::A S 103:
 
Afadhali hawakumchagua,binafsi naona hana akili timamu na ni mtu mzima mwenye akili za watoto wajinga,
 
Back
Top Bottom