Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
Huyo bwana ni kilaza sana, level ya elimu yake ni form two, alikuwa ni mbunge wa jimbo letu. Amshukuru mungu kamjalia mapesa!
Mchakachuzi mzuri wa mafuta. Hasa stations zake za Mwanza
Huyo bwana ni kilaza sana, level ya elimu yake ni form two, alikuwa ni mbunge wa jimbo letu. Amshukuru mungu kamjalia mapesa!
Tanzania Daima + Habari za CCM = Pumba
Usiipende JF ili u-comment, angalia na vyanzo vingine vya habari kama radio, TV na magazeti!Tanzania Daima + Habari za CCM = Pumba
Kama walikubaliana na wananchi kwamba anawapa madawati ili wamchague ubunge kwa kipindi cha pili ni haki yake aludishiwe madawati hayo. Kama hakuna makubaliano hayo, bali alitoa kwa moyo wake kama kiongozi wao hana haki ya kuyadai madawati hayo tena , eti kwa sababu hawakumchagua " kienda kwa mganga huwa hakirudi"