Mbunge wa Bahi ajijenga kupitia fedha za mfuko wa jimbo

nyafuru

Member
Mar 29, 2012
10
1
Katika mazingira ya kuiwashangaza wengi mbunge wa jimbo la bahi agawa hela kwa vikundi bila kubainisha hela ni zake au ni hela zinazo tengwa na serilali kwa ajiri ya mfuko wa jimbo?watu wakiwa wamejikusanya wawili watatu walionekana wa kishangazwa n amambo anayo ya fanya mbunge huyo nsa ser a alizo zizindua hapohapo kwenye mkutano kama "kopa kwa mbunge kaa nazo mwenyewe"kopa kwa mbunge lipa kwa jirani yako"lakini kitendawili ambacho watu wa bahi dodoma wamebaki nacho ni je hela hzo ni mali ya mbunge au za mfuko wa jimbo?:spy:
 
Back
Top Bottom