Mbunge Sugu aelezea kukamatwa kwake na kinachoendelea Mbeya Mjini hivi sasa

watu wa kawaida ni kina nani?
watu kama wapi kwa mfano unao waita wa kawaida?
ni watu gani wasio wa kawaida?

kwenye kamusi kuna neno "watu wa kawaida" au "watu wasio wa kawaida" (kinyume cha ulicho nena)?

Mtu wa kawaida ni mimi na wenzangu tusiojua misamiati ya wasanii mitaani

Linaweza kuwa halimo kwenye kamusi lakini mimi hapa sijaandika taarifa rasmi kwa vyombo vya habari wala sina wajibu wowote kwa taifa
 
iam confused!jana usiku nilisikia sauti ya sugu(kama ya sugu)akiunga mkono fiesta kwenye clouds radio na nilipigwa na butwaa,au jamaa waliimitate sauti ya sugu??nilinusa harufu ya umafia wa clouds toka inaanzishwa back in 98 or 99...hawa jamaa si wafe wote kwa wakati mmoja..i will bless that day..
 
Mimi si mbunge wala sitoi taarifa kwa vyombo vya habari kwa hiyo silazimiki ku double check ninachokiandika

Yeye ni role model kwa vijana na kwa jamii nzima. Hapaswi kutuandikia habari yenye kosa kubwa kama tofauti ya milioni na bilioni.

Pia hapaswi kuandika kwa kutumia maneno ya mtaani ambayo yanaweza kuonekana ya kejeli kwa kundi fulani la watu

Na hapaswi kuandika bila kufata kanuni za uandishi.
Mind the context and not the content.Tuendelee na mjadala,kwani wewe umeelewa nini kutoka kwenye hiyo habari?Kama hujaelewa soma maoni ya wenzako na kama una swali uliza.
 
kwani maneno ya mtaani ni maneno ya mbwa au ya binadamu?
mtaa gani unao ongelea kwanza au una maanisha nini kusema maneno ya mtaani?

ulitaka atumie maneno gani badala ya maneno ya mtaani?
 
iam confused!jana usiku nilisikia sauti ya sugu(kama ya sugu)akiunga mkono fiesta kwenye clouds radio na nilipigwa na butwaa,au jamaa waliimitate sauti ya sugu??nilinusa harufu ya umafia wa clouds toka inaanzishwa back in 98 or 99...hawa jamaa si wafe wote kwa wakati mmoja..i will bless that day..

mkuu ilikua bluff kwa watu wa mbeya,..
kama walivo mteka zitto na diwani mmoja wa chadema kule
mbeya kwenye matangazo yao kuhusu fiesta,...

hiyo ni kitu ya zamani sana ndo wali-play
 
Wako wapi wale waliokuwa wanaponda azma ya SUGU kupinga/kuzuia tamasha la fiesta Mbeya?wote mbona leo mnamsupport!...Kamanda Sugu hivyo hivyo mpaka kieleweke!
 
Wasanii wengi ni wanafiki ndiyo maana unakuta kwenye kampeni wanaimba na kuburudisha kampeni za CCM,watumie akili pia kibiashara.vijana wengi wameichoka CCM ,vijana ambao ni wateja wa kazi zao za sanaa.siku wakigomea kazi zao za muziki sijui itakuwaje
 
sugu sasa uchokozi huu... wenzako waandae tamasha mwaka wewe wiki tu unataka iwe siku hiyohiyo?? kwanini usifanye kesho?
 
kama ni maneno ya SUGU basi namkubali zaidi. Pia nilikuwa sijapata undani wa hii 'empire' ila sasa nimepata picha. hawa jamaa ni cartel. yawezekana hata unga wanauza kwa mgongo wa burudani. ila nawakubali kwa hila, ulaghai, ubunifu, vitisho na mikakati wanayojiwekea. haya yote katika soko YAPO.
 
kwa kupitia redio hii, tv hii ya clouds wengi wanaumia sana , hata juma nature yashawahi kumkuta, mijitu hii Joseph Kusaga kupitia redio yake clouds entertainment hujikaribisha sana na kujipendekeza kwa Rais , hivyo hujifanya kila jambo walifanyalo linabaraka za rais. Ni kweli THT iko kwenye nyumba za serikalii lakini mpaka wakupende wao au ujipendekeze kwao ndio unaingia
 
Juu ya hivyo, hii ya herufi kubwa baada ya comma ndo naiona kwake!

Mkuu na wewe neno "ndo" umelitoa katika kamusi gani ya kiswahili? Sugu ni kichwa bwana, makosa uliyoyaona ni ya kawaida katika uandishi.
 
Mind the context and not the content.Tuendelee na mjadala,kwani wewe umeelewa nini kutoka kwenye hiyo habari?Kama hujaelewa soma maoni ya wenzako na kama una swali uliza.

Huwezi kumpangia mchangiaji atoe maoni yake juu ya nini kwenye forum, na ndio demokrasia

Mimi nimeamua kuongelea uandishi wake wengine wameamua kuongelea mengine. Tatizo liko wapi? Kuna kanuni imevunjwa?
 
Nimeipenda hii, tukiwa na wawakilishi kutoka kwenye makundi mbali mbali bungeni mambo yatakwenda! Back tothe topic, big up sugu kwa kumfunga paka kengele! Tupo pamoja kwenye kuondoa unyonyaji, hao wana tofauti gani na wakoloni tuliowaondoa!
 
Mimi si mbunge wala sitoi taarifa kwa vyombo vya habari kwa hiyo silazimiki ku double check ninachokiandika

Yeye ni role model kwa vijana na kwa jamii nzima. Hapaswi kutuandikia habari yenye kosa kubwa kama tofauti ya milioni na bilioni.

Pia hapaswi kuandika kwa kutumia maneno ya mtaani ambayo yanaweza kuonekana ya kejeli kwa kundi fulani la watu

Na hapaswi kuandika bila kufata kanuni za uandishi.
Unataka tukuache udanganye watu kwamba kuna neno linaitwa tarakwimu kwa vile wewe si mbunge nasema hapana,
kama ulivyo mstari wa mbele kuwataka wengine akiwemo mbunge wasifanye makosa wewe pia unatakiwa kumaanisha unachokisema.

Nasema tena kwenye kamusi hakuna neno tarakwimu kuna neno tarakimu
labda kukusaidia, katika hesabu kuna neno takwimu = statistics na tarakimu = digits.
 
"kutumia njia haramu kuhodhi biashara ya muziki"

Njia hizo haramu ni zipi?
 
pamoja sana sugu, clouds wanakamua sana wasanii kuna wasanii kama mangwea album zao ziliuza sana lkn pesa waliyopewa machozi yananitoka.. hali ya wasanii tz kiuchumi ni mbaya sana mfano wa maigizo nilimuona jengua na mzee kipara ktk makazi yao pamoja na kazi zao kupendwa lkn kwakweli machozi yatakulenga, huwezi amini wanaishi kwenye nyumba za tembe
pia kuna mdada keisha niliiona nyumba yao daaaa.... TID nae alivyotoka jela alikuwa anapiga mzinga wa jelo au bia huku akijifanya anatoa free style
 
Sugu ubunge si kila kitu
Nilikusikia wakati umepata ubunge ukilaumu kuwa wasanii hawakuja kukupigia kampeni
Wewe ni mlalamishi na mshari.
Unajidanganya ubunge si kibali cha kukomoa wapinzani wako
Kama unawapenda wasanii anzisha redio au studio upambane na hao kwa njia hiyo. Ubabe na maneno matupu hayasaidii.
Hizi siyo siasa ni biashara. Kama una ubavu pambana kibiashara na si porojo
 
pamoja sana sugu, clouds wanakamua sana wasanii kuna wasanii kama mangwea album zao ziliuza sana lkn pesa waliyopewa machozi yananitoka.. hali ya wasanii tz kiuchumi ni mbaya sana mfano wa maigizo nilimuona jengua na mzee kipara ktk makazi yao pamoja na kazi zao kupendwa lkn kwakweli machozi yatakulenga, huwezi amini wanaishi kwenye nyumba za tembe
pia kuna mdada keisha niliiona nyumba yao daaaa.... TID nae alivyotoka jela alikuwa anapiga mzinga wa jelo au bia huku akijifanya anatoa free style

usimsahau yule dada wa "chambua kama karanga",hadi jina nimesha msahau alikua
maarufu kweli
 
Back
Top Bottom