Mbunge Salome Mwambu (CCM) mahututi Muhimbili

good pwenti ila lazima ukubali kwamba watu wamechoka na wanateseka kila siku

usomacho ni hali halisi ya chuki itokanayo na unfair society

Nadhani kuweka chuki si jambo la busara.. ...cha maana ni kujilaumu sisi wenyewe kwa kuwapa kura. .....hivyo tuvumilie muda uishe tuamue tena......ndiyo demokrasia
 
Nadhani kuweka chuki si jambo la busara.. ...cha maana ni kujilaumu sisi wenyewe kwa kuwapa kura. .....hivyo tuvumilie muda uishe tuamue tena......ndiyo demokrasia

in unfair world chuki ni jambo la kawaida sana tu

naweza kujilaumu mimi ila siwezi kumlaumu shangazi yangu kule ngapa au namabengo kwa kuchagua walaghai, kwani wamefumbwa macho na kitambaa cha ubazazi
 
kama hawajampeleka India ajifunze kuwa zile ndiooooo zinamtokea puani.Huwa hawa jamaa hawaoni malia katika vitu vingi muhimu kwa familia zao na nchi.
 
kama kuna m2 yuko huko plse atujuze kuhusu huyu mheshimiwa kwani ni jembe la ukweli sana bungeni
 
Kweli Liwalo na Liwe ndio Tuendako Huko Hakuna Upendo wala Mshikamano Tena ni Kiongozi gani Tena ataliliwa kama alivyoliliwa Nyerere? au Mkwer3?
 
Back
Top Bottom