Mbunge Salome Mwambu (CCM) mahututi Muhimbili

Mbunge wa Iramba Mashariki-CCM-Salome Mwambu ni mgonjwa mahututi na amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi-ICU.

Msemaji wa MNH Aminiel Aligaesha amesema kimsingi hali ya mbunge huyo siyo nzuri.Amelazwa hospitalini hapo tangia Julai 21.

Mbunge huyo anasumbuliwa na kisukari na shinikizo la damu.

Source:
Nipashe Ijumaa.

Jamani kwanini Wasimpeleke Hospitali ya Serikali - INDIA? Hii ni Hatari kweli Muhimbili hapafai
 
pole sana mama mwambu. alikuwa mkuu wa chuo cha ualimu Ndalla-Tabora, japo alikuwa ni mnoko sana na asiyependa kusikia la mtu ila inapofikia kwenye swala kama hili inabidi tofauti tuziweke pembeni tumsamehe na kumtakia heri apone haraka.
 
Bila CT-Scan, atapimwa na nini???? Hayo ndiyo matunda ya kuunga hoja kwa asilimia 100. drs- keep it up.
 
Hata sijui nimuombee lipi kwa mungu... Maana haya masisiemu ni zaidi ya mashetani
 
Drs fanyeni kazi yenu!
nakwambia watapeleka india tu.... that is the fact, wanasiasa na madaktri kwa sasa ni petroli na kiberiti.....

labda awe na madaktari wake na manesi wake na wakae pale muda wote
 
Back
Top Bottom