Ya maako.....
Hiyo danganya toto, inawezekana Abood alijua kabisa kuwa polisi watafanya hujuma hii
Nakubaliana na wewe, na tangu mwanzo niliamini kuwa huyu Mbunge allikuwa nyuma za 'nguvu' inayotumiwa na polisi. Mambo yameharibika sasa anaanza kujikosha ili aonekane anajali walalahoi. Abood anamaliza watu na mabasi yake sasa anajificha nyuma ya polisi. Haikubaliki.
Acha uzushi hao polisi wako chini ya utawala wa CDM? CCM inanuka kwa kila hali we ngoja iko siku wataumbuka hadi basi.Cdm waendelea kumwaga damu
naomba huyo mtu pia umuulize je na nape nae ni chadema????
Leo umenena mkuu. Big upAsitafute sababu za kujinawisha mikono. Kama Jimbo kuporwa, lilishaporwa kitambo. Akilaumu chama na serikali kwa ujumla wake.
Amegundua jinsi walivyo-miss calculate.Linear programming yao imewapo wrong feasible region.
Nakubaliana na wewe, na tangu mwanzo niliamini kuwa huyu Mbunge allikuwa nyuma za 'nguvu' inayotumiwa na polisi. Mambo yameharibika sasa anaanza kujikosha ili aonekane anajali walalahoi. Abood anamaliza watu na mabasi yake sasa anajificha nyuma ya polisi. Haikubaliki.
Kumtoa Abood 2015 ni ndoto....