MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
- Thread starter
- #41
SIE CHADEMA viti maalum vilitolewa kwa UKOO sifa namba 1; Lucy Owenya, Kiwelu= Ndesa family; Lissu = Tindu Lissu empire nk.Sio kwa mujibu wa Chadema.
Wabunge wa viti maalum wamechakuliwa kwa elimu zao. Kila mwenye elimu ya juu zaidi alikuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuchaguliwa kwa vile chama kinaamini elimu ni directly proportion to ubora wa mbunge