Mbunge Nyalandu ndoa na Faraja Kota

Status
Not open for further replies.
inauma sana ,Jf mekuwa sehemu ya kudiscuss mambo ya udaku kuhusu kina nyalandu wakati wananchi wanapata shida huko kamnyonge na nyamgusu??
unajua Bunge limechangia sh. ngapi kukamilisha sherehe hiyo???
JF credibility inaaznza kupungua

Kila msosi una side sauce.
mbaya hapa ni pale mtu anafunga tairi za trekta kwenye mark II AU tairi za mark II kwenye trekta. hapa naona mtu kaweka tairi na rim za sport kwenye gari yake.
 
kama uliotea vile,duh midomo uumba hii,jamaa anapiga friends wa wife JK halafu kawafanya marafiki.na ni muda since binti anasoma arusha
Naona tapeli Nyalandu ameamua kuhalarisha ndoa yake na Faraja!! Hongera sana na kwa heri kambi ya makapera.Wasi wasi wangu wataweza dumu? maana Lazaro ni kiazi sana na Faraja is a smart lady....kazi ipo!!
 
Watu mnalalamika eti hii ni ya zamani kwani hamuoni tarehe ya hii topic mtu alipoirusha?

Acheni kuongea pumba, laleni nyuma eti mnataka muone topic mpya pumba
 
duh kama hadi wadogo zetu wanaanza kuchukua jumla jumla, nadhani na sisi wazee wengine inabidi tuanza kukusanya mahari. Hivi bado watu wanalipa mahari? Ukimpatia mtu kalaptop na tukadi kwa intaneti vinaweza kuwa sehemu ya mahari au bado ni yale yale ya Ng'ombe, Mbuzi, na kondoo na tuchenji kidogo?

Hongera.

MM umenichekesha hadi mbavu zinaniuma!!
 
duh kama hadi wadogo zetu wanaanza kuchukua jumla jumla, nadhani na sisi wazee wengine inabidi tuanza kukusanya mahari. Hivi bado watu wanalipa mahari? Ukimpatia mtu kalaptop na tukadi kwa intaneti vinaweza kuwa sehemu ya mahari au bado ni yale yale ya Ng'ombe, Mbuzi, na kondoo na tuchenji kidogo?

Hongera.

Alalaalalalalalalalalalala! Mkjj,
Uzee wote huo na li-status lote hilo la "academic desert", kumbe mambo yote nyumbani Holaaa! Pole sana. Ingekuwa ni wa kuazimana, mimi ninao wawili ningeweza kukuazima mmoja!
 
lazaro impresses me as a she-goat.........................what do you think........................anavyoongea I'm left yawning for answers............
 
mbona nasikia wanaishi wote na wana watoto? hii itakuwa ndoa au kurudi kundini mwa Bwana. Karibu sana mheshimiwa ndoa zenye baraka ya Kanisa zina heshima na hadhi yake. Mungu awajalie mfikie azma yenu.
 
mkuu hii post tulishaiona longtime!mm nilidhan kuna mpya!kumbe porojo

haya ni matokeo ya maisha ya rais kikwete yanafanya watu wakimbie na kuchana passport zao wanapokujaambiwa kuna web inahusumambo ya nyumban awaangalii wanaingia kama zilivyo sio kosa lake ni kosa la matatizo ya kiwete na familia yake kutuweka gizan,mafuta kupanda bei na zaidi kuuchukua ufahamu wa watanzania hata akuna mtanzania anaepigakele
 
KUMBEEEEEEE!Hebu nichek kwenye hansad kama alimshukuru wakati wa makadirio ya hotuba ya wizara yake... hold on I will be back here shortly
 
Mkombozi, unapomchagua kiongozi wako ujue unamchagua nani. Hizi habari huenda zikawa muhimu sana siku za mbeleni iwapo jamaa atakuwa na nia ya kugombea uongozi wa juu, sasa kama hatujui katokea wapi itakuwa ni vigumu kujua atakakotupeleka. This is very sensitive, ndio maana huwa wanajaza fomu za maadili ya uongozi wa umma, ikiwemo suala la kutaja mali ambazo kiongozi anazimiliki.
Kama jamaa ni tapeli, unadhani akiupata uwaziri mkuu hali itakuwaje?

You guessed well ma broda..
love n'peace!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom