Mbunge Nyalandu ndoa na Faraja Kota

Status
Not open for further replies.
Du! Jambo forum kuna mambo. Yani watu wana data za watu utadhani usalama wa taifa. Hongera Faraja na mumeo mtarajiwa. Mungu awape furaha iliyotimilika, mpate na watoto wazuuri
 
Lazaro bado ana kesi ya kujibu kule Forrest City, Iowa. Alimbakaga msichana wa Kinamibia.

Nyani bwana bwana..hivi huzui hayo kweli?! Kama si kweli unamfanyia si sawa huyu mheshimiwa ambaye anataka kuuboresha uheshimiwa wake. Kuoa heshima ati..uliza tulioa.

KILA LA HERI Lazaro & Faraja
 
ama kwelii dunia ndogooo!!!!mwee wataalamu waendeleage na bnez ya kutujengea makazi kule mars na kwingineko...angalau kuwe na siriz....yan jina la mtu lisibonyezwe tuuuuu....data zoote kuanzia tabia zake nursery school mpaka mchana huu kala nini!!!!!thats funny but interesting at the same tym
 
Hayawi hayawi, yamekuwa. Send-off party ilikuwa Ijumaa tarehe 30 Nov 07, harusi ni 8 December 2007,ktk kanisa la KKKT,Usharika wa Azania Front

ALL THE BEST MP-LAZARO & MISS TZ-FARAJA
 
Mhh, kazi kwelikweli, ndio maana mi uselebriti siutaki kabisa. Kwa vibomu vilivyorushwa hapa, Mheshimiwa atakua amekunja ngudu saa hivi akisali mtarajiwa wake asiingie humu, ndoa inaweza vunjika hivihivi!! He has some explaining to do.
 
Tuko pamoja mkuu, hata mie nachukia sana attention za kipuuzi za namna hii. Yaani kwa akina sisi ambao shule za msingi na sekondari tulikuwa vituko vitupu itakuwa ishu kubwa sana kama utakuwa umeingia katika ustaa. Watu wanajua hadi mashuka unayojifunika kwako!
 
Vimwana wa MU wanamjua vizuri sana. Alikuwa haishi kwenda!

Nafikiri MU alikuwa anakwenda kwa maishu ya UKWATA na mikutano ya injili sababu nilishawahi kualikwa kwenye fund raising moja ya kidini pale na yeye alikuwa amealikwa kama mgeni rasmi!
 
hayo ya IOWA ni kweli ,kijana alikuwa na kesi ya kubaka lakini hapa nitamtetea kidogo...nafikiri hakubaka ni ule ushamba wa kuambiwa NO lakini still mtu unalazimisha na dada ni mzambia au Zimbabwe(sina uhakika na nchi) na hata shule hakumaliza pale ikabidi aondoke maana order ilikuwa akae mbali nsana na huyo dada,ila ana katabia ka utapeli huyu bwana kawazima sana watu Minneapolis
 
duh kama hadi wadogo zetu wanaanza kuchukua jumla jumla, nadhani na sisi wazee wengine inabidi tuanza kukusanya mahari. Hivi bado watu wanalipa mahari? Ukimpatia mtu kalaptop na tukadi kwa intaneti vinaweza kuwa sehemu ya mahari au bado ni yale yale ya Ng'ombe, Mbuzi, na kondoo na tuchenji kidogo?

Hongera.

...nimecheka ile mbaya,unaonekana umechoka ile mbaya shauri yako utakosa wachumba wewe
 
Nafikiri MU alikuwa anakwenda kwa maishu ya UKWATA na mikutano ya injili sababu nilishawahi kualikwa kwenye fund raising moja ya kidini pale na yeye alikuwa amealikwa kama mgeni rasmi!

inauma sana ,Jf mekuwa sehemu ya kudiscuss mambo ya udaku kuhusu kina nyalandu wakati wananchi wanapata shida huko kamnyonge na nyamgusu??
unajua Bunge limechangia sh. ngapi kukamilisha sherehe hiyo???
JF credibility inaaznza kupungua
 
Mkomboziufisadi,

Bunge lina watu kama hao, unategemea nini? Labda JF itatumika mwaka 2010 ili kuwaumbua baadhi ya wanafiki wanaokimbilia kwenye siasa.
 
inauma sana ,Jf mekuwa sehemu ya kudiscuss mambo ya udaku kuhusu kina nyalandu wakati wananchi wanapata shida huko kamnyonge na nyamgusu??
unajua Bunge limechangia sh. ngapi kukamilisha sherehe hiyo???
JF credibility inaaznza kupungua

Mkombozi, unapomchagua kiongozi wako ujue unamchagua nani. Hizi habari huenda zikawa muhimu sana siku za mbeleni iwapo jamaa atakuwa na nia ya kugombea uongozi wa juu, sasa kama hatujui katokea wapi itakuwa ni vigumu kujua atakakotupeleka. This is very sensitive, ndio maana huwa wanajaza fomu za maadili ya uongozi wa umma, ikiwemo suala la kutaja mali ambazo kiongozi anazimiliki.
Kama jamaa ni tapeli, unadhani akiupata uwaziri mkuu hali itakuwaje?
 
duh kama hadi wadogo zetu wanaanza kuchukua jumla jumla, nadhani na sisi wazee wengine inabidi tuanza kukusanya mahari. Hivi bado watu wanalipa mahari? Ukimpatia mtu kalaptop na tukadi kwa intaneti vinaweza kuwa sehemu ya mahari au bado ni yale yale ya Ng'ombe, Mbuzi, na kondoo na tuchenji kidogo?

Hongera.
hoja tani milioni aisee
 
inauma sana ,Jf mekuwa sehemu ya kudiscuss mambo ya udaku kuhusu kina nyalandu wakati wananchi wanapata shida huko kamnyonge na nyamgusu??
unajua Bunge limechangia sh. ngapi kukamilisha sherehe hiyo???
JF credibility inaaznza kupungua
Gembe/mkomboziufisadi

finally umeangukia palepale.... karibu sana!!
 
All the best Bwana na Bibi harusi watarajiwa, ila msianze kuvunja amri, subirini.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom