Mbunge Nkamia Anapepo?

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
Jamani wanaJF mbunge Nkamia hivi karibuni aliwachukua waandishi wa habari wa Kike kutoka Arusha(PAMELA MOLLEL NA ASHURA MOHAMED) kufanya ziara jimboni mwake,lakini mambo haya kuwa hivyo kwani wadaku wamegundua kuwa mheshimiwa huyo aliwapangishia hotel mjini Kondoa kwa wiki mbili akifaidi mema ya nchi,na kibaya zaidi waandishi hao wamekuwa wakiwatambia wenzao kutokana na kitita cha fedha walichovuna kutoka kwa mheshimiwa huyo.sasa wakuu JF tuchangie ukimwi utaisha kwa jinsi hii.
 
mmh?
kupangishiwa hoteli na ukimwi vina uhusiano upi?
hebu panga habari yako vyema kisha uje upya.
 
ulitakaje sasa? Kama wenyewe wamekubaliana nawatangazia.. Nan sasa mwenye pepo Mkamia au hao waandishi?
 
Hoja haijakamilika, we mdau mleta mada jipange kidogo basi
 
Mtiririko wa taarifa yako hauko sawa,una taarifa nzuri jipange halafu uje tena.
 
Ulinyimwa nini kuandamana nao.Pole na shida zako mkuu ni umaskini ndo unaokusumbua.
 
kwani hao wadada walikuja kukulalamikia?au uliahidiwa kuchukuliwa wewe halafu hukuchukuliwa imekuuma?hivi tukianza kuandika kila ishu za mahusiano humu fulani katembea na fulani,mbona sasa tunataka kuharibu utamu wa JF?
 
Jamani wanaJF mbunge Nkamia hivi karibuni aliwachukua waandishi wa habari wa Kike kutoka Arusha(PAMELA MOLLEL NA ASHURA MOHAMED) kufanya ziara jimboni mwake,lakini mambo haya kuwa hivyo kwani wadaku wamegundua kuwa mheshimiwa huyo aliwapangishia hotel mjini Kondoa kwa wiki mbili akifaidi mema ya nchi,na kibaya zaidi waandishi hao wamekuwa wakiwatambia wenzao kutokana na kitita cha fedha walichovuna kutoka kwa mheshimiwa huyo.sasa wakuu JF tuchangie ukimwi utaisha kwa jinsi hii.

Kwani hao wadada kuna mmoja wao ulimtongoza? au wewe unataka Mheshimiwa Mbunge apumzike kwako? Acha umbea mwanaume lijali
 
inaonekana mleta mada anachuki na mdada mmoja hapo ndo maana,wacha watu wale raha maisha mafupi haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom