Mbunge ni msemaji wa matatizo ya wananchi wa eneo lake

nkomelo

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
216
44
Ndugu zangu zana halisi ya ubunge ni kusema kwa niaba ya wapiga ambao hawana uwezo wa kusema,Mhe Mosse Machali kasuli mjini amemuunga Mhe cheo mkono kwa kazungumzia matatizo ya wananchi bila kujali kama maswa hayo yatamletea umaarufa ama la.mbunge huo ameamua kupeleka hoja binafsi inayohusu maisha ya mtazania wa tabaka la chini ambalo limesaulika kabisa maana muda wao wa kutumika umepita mpaka tena 2015,nijambo la kawaida kutosikia kuona bunge limekaa kimia na kusahau hii nchi ni ya wakulima lakini hakuna anayekumbuka kuwa kahawa hai zinakatwa kwa kukosa soko,pamba kanda ya ziwa hazima maana tena,korosho pwani watu wanakata nakuchoma mikaa hili ni janga la kitaifa,Asante mosse machali mp kwa kuanzi hoja hii binafsi na wengine wataamka sasa.kwani ata hapo mbagana kunagesi inauwa wachimba visima kila siku na huku tukihaha hakuna umeme.
 
Ndivyo inavyotakiwa kuwa lakini jiulize na ukubwa wako ulionao, Mbunge wako alishakaa na nyie mtaani, kijiweni, kijijini etc kabla/baada ya Bunge kuwauliza akaulize nn Bungeni au kuwapa feedback? Theoretically, that's how it's supposed to be but practically, mabomu yote yanayorushwaga huwa ni yao wabunge, waliyoyapata kwa means wanazojua wao.... Ni muda muafaka wa kuwa na mbunge anayekujali kwa kukujua matatizo yako................................................
 
Back
Top Bottom