Mbunge na Meya wa Musoma na wizi wa madawati

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Ni siku chache zimepita Katiibu MKuu wa CCM alizomewa nyumbani kwao Musoma . Lakini nimekuwa najiuliza kwa nini azomewe na wakati ni mpya na alikuwa anajitambulisha pia ? Nikagundua kwamba ni CCM tena kushindwa kusoma alama zanyakati kwa kumwachia kilaza Matayo kuhutubia na kuwaudhi wananchi wa Musoma kwa kumtukana Mbunge wao na Meya kwamba ni wezi .

Matayo amezusha uongo wa kuibiwa kwa madawati ambayo bila kutumia akili alitamka kwamba ni mali ya famiia yake na kusema anakwenda mahakamani kufungua kesi .Mimi nangojea kuona kesi inafunguliwa then tuone itakavyo unguruma .

Ukweli wa madawati ni huu hapa .Mbunge na Meya walifanya ziara katika shule zote za Jimbo na wakafika shule mojaa ya mjini wakakuta kweli Mataya alichangia madawati hayo siku za nyuma . Madawati yalikuwa yamerundikana stoo hayana matumizi maana katikaa shule hiyo ya mjini kila darasa lilikuwa na madawati ya kutosha na hapakuwa na upungufu ila kuna bakaa ( Surplus) Busara za Mbunge zikatumika kwamba kuna shule hazina kabisa madawati basi yachukuliwe yake wapewe shule ambazo hazina madawati . Hilo likafanyika vyema sana.

Matayo kupata habari za gawiwo hilo ilikuwa too late ndiyo amekuwa bitter sasa na kuanza kuhubiri ujinga mwingi na hata kupelekea kuuharibu mkutano wa Katibu mkuu wao . Je ndugu watanzania kwa kitendo kile alicho kifanya Mbunge na Meya kuna lawama ? Je kulikuwa na hajaa ya Matayao kusema ni madawati ya familia yake yameibiwa ? Je kulikuwa na haja ya kusema Mbunge na Meya wameiba madawati ?
 
huu ni mwezi wa sita sasa tangu ametema huo ubunge, sasa kama ni ya familia yake, hadi yanatolewa kupelkwa shule nyingine alikuwa amelipa shilingi ngapi kama storage charge ya fenicha zake binafsi kwenye majengo ya shule? na je risit za hayo malipo anazo na zimeandikwa jina lake? jamani hawa ccm utadhani wote wanaliwa tigo! mapumbavu kama nini!
 
Very interesting. Unapotoa donation haiwi mali yako tena. Strangely, kuna TV huyu mheshimiwa alikuwa ametoa pale mapokezi hospitali ya mkoa. Baada ya kushindwa ubunge alikwenda kuchukua ile TV. Sijui kwanini watumishi wa pale hawakumpigia yowe kama mwizi.
 
Viongozi wengi wa CCm ni matapeli na wezi. Huyu Matahayo anamiliki vituo vya kuuza mafuta na magari makubwa ya kusafirisha mafuta. Moja ya magari ndilo liliunguza watu maeneo ya Chalinze baada ya kuanguka na watu kuiba mafuta. Cha kushangza gari halikuwa na bima ili kuua soo akamua kumfungulia deeva mashtaka ya wizi wa mafuta; kesi ambayo baadaye alilazimia kuifuta kutokana na kukosa ushaihidi.
 
Matayo amejaa skandali kibao hapa Musoma za kisiasa hadi mauaji na ndugu zake lakini kwa kuwa ni CCM hajawahi kuguswa sasa ameanza vituko na kuropoka hovyo .Mimi nangoja kumuona mahakamani akifungua kesi . Musoma wana lalamika anachukua nyama zote anapeleka sijui Comoro sijui wapi lakini wanasemea chini kwa kuwa ana pesa anaweza kukumaliza mara moja .Ndiyo CCM hii . Inaingiza mafuta ya wizi Nchini lakini hakuna wa kumgusa
 
Huyo binadam hajagundua kuwa wah. Mahakimu na majaji wanashughuli muhimu zaidi ya hii ngojera. Hasijaze makaratasi kwenye mahakama zetu, yeye akafanye shughuli zake kimjini mjini akisubiria wakati wa uhuru mpya utakapokuwa fika ili aweze kuona nuru mpya
 
Back
Top Bottom