Gerald
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 290
- 46
kumwelimisha ndugu yangu ni ni kwamba Gari ni lazima awe nalo na ukizingatia barabara zetu za vijijini zilivyo hiyo aikwepeki na hua inakua ivi gari kama yale mashangingi yahimili vishindo na unaweza kukaanalo hata miaka kumina ndio maana bei gali upo hapo.
Mafno wilaya yako mtoa mada inaweza kuwa vijiji hata 30 na zaidi au pungufu, kuna matawi, mashina na wazee wa vijiji kata na vitongoji so unaposema mshahara na posho+marupurupu uwa inawasaidia wabunge kufikia watendaji wake kila vijiji ukizingatia mafuta, nakadhalika inatoka mfukoni kwake akuna budget ya mbunge ya kuendesha jimbo huwa izo hela zinatoka mfukoni kwako kwa maantiki hiyo ukiwa na watu Milioni2 katika jimbo lako utakuta hata hiyo hela aitoshi ingawa unapoisikia ikitamkwa unaona nyingi
Kingine kwani si ndio mshara wake katika hiyo ajira? je wewe unaweza kufanya kazi bila malipo?
kuwa mwungwana mchangiaji